Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,606
- 1,956
Wadau.
Mimi siyo mwindaji ila huo ni ushauri wa wawindaji.
(1) Usifanye kosa la kumjeruhi mnyama na kumuacha akiwa hai.
(2) Hakuna Ulazima wa kutumia risasi Zaidi ya moja.
(3) Usiwe na haraka ya kupiga risasi. Hakikisha kuwa mnyama yupo kwenye target kisha mlenge sehemu inayotakiwa.
(4) Ikitokea bahati mbaya umemjeruhi basi Usifanye kosa kumuacha hai. Hakikisha kwa gharama zozote mnyama huyo habaki hai.
(5) Kumuacha hai ilihali amejeruhiwa ni hatari kubwa sana.
(6) Ni vema ukawinda peke yako ili kuongeza umakini na pia kuzuia mnyama kushtuka mapema na kukimbia.
(7) Ni aibu, fedhea na hatari kubwa kwa mwindaji kushindwa kuua mawindo yake.
Uwindaji kwenye mapori yetu unahitaji umakini Mkubwa Sana.
Unajiona mwenye akili kubwa na umefumba fumbo eti eeh! Maandishi yako yanaakisi uhusika wako wa moja kwa moja wa mauaji ya wote waliouawa kwa kosa Cha kutofautiana na mkuu wenu kimawazo na kimtazamo!Wadau.
Mimi siyo mwindaji ila huo ni ushauri wa wawindaji.
(1) Usifanye kosa la kumjeruhi mnyama na kumuacha akiwa hai.
(2) Hakuna Ulazima wa kutumia risasi Zaidi ya moja.
(3) Usiwe na haraka ya kupiga risasi. Hakikisha kuwa mnyama yupo kwenye target kisha mlenge sehemu inayotakiwa.
(4) Ikitokea bahati mbaya umemjeruhi basi Usifanye kosa kumuacha hai. Hakikisha kwa gharama zozote mnyama huyo habaki hai.
(5) Kumuacha hai ilihali amejeruhiwa ni hatari kubwa sana.
(6) Ni vema ukawinda peke yako ili kuongeza umakini na pia kuzuia mnyama kushtuka mapema na kukimbia.
(7) Ni aibu, fedhea na hatari kubwa kwa mwindaji kushindwa kuua mawindo yake.
Uwindaji kwenye mapori yetu unahitaji umakini Mkubwa Sana.
Yamkini muwindaji alikuwa na uhakika kwamba windo lake limekata roho. Maana risasi kuacha windo hai ni miujiza ya Mola.Wadau.
Mimi siyo mwindaji ila huo ni ushauri wa wawindaji.
(1) Usifanye kosa la kumjeruhi mnyama na kumuacha akiwa hai.
(2) Hakuna Ulazima wa kutumia risasi Zaidi ya moja.
(3) Usiwe na haraka ya kupiga risasi. Hakikisha kuwa mnyama yupo kwenye target kisha mlenge sehemu inayotakiwa.
(4) Ikitokea bahati mbaya umemjeruhi basi Usifanye kosa kumuacha hai. Hakikisha kwa gharama zozote mnyama huyo habaki hai.
(5) Kumuacha hai ilihali amejeruhiwa ni hatari kubwa sana.
(6) Ni vema ukawinda peke yako ili kuongeza umakini na pia kuzuia mnyama kushtuka mapema na kukimbia.
(7) Ni aibu, fedhea na hatari kubwa kwa mwindaji kushindwa kuua mawindo yake.
Uwindaji kwenye mapori yetu unahitaji umakini Mkubwa Sana.
Uzuri anatumia real names, haitamsumbua sana Fatou BensoudaUnajiona mwenye akili kubwa na umefumba fumbo eti eeh! Maandishi yako yanaakisi uhusika wako wa moja kwa moja wa mauaji ya wote waliouawa kwa kosa Cha kutofautiana na mkuu wenu kimawazo na kimtazamo!
Hapa unamlenga Lissu. Nikuulize wale wengine waliokufa Ina maana hukukosea shabaha?
Maandiko Kama haya yalitumika Kama ushahidi mahakamani huko uholanzi na huenda ukakumbwa kwa ujuaji wako wa kipuuzi wa kutaka sifa zisizokulisha!
Jifunzeni kupima athari za maandiko yenu yanayochochea vurugu kwa jamii!
Daah! Nimecheka sana hao ndio ccm πππππ
usimjeruhi mnyama ukamuacha hai ni mbayaUnamaanisha TL ameshaanza kuleta madhara au unamaana gani
Hapa kwa mwenye akili hii si fasihi maana ni dhahiri mno. Ina maana bado unataka afe!! Mungu si Boniface Kichonge. Jamaa ataishi!Wadau.
Mimi siyo mwindaji ila huo ni ushauri wa wawindaji.
(1) Usifanye kosa la kumjeruhi mnyama na kumuacha akiwa hai.
(2) Hakuna Ulazima wa kutumia risasi Zaidi ya moja.
(3) Usiwe na haraka ya kupiga risasi. Hakikisha kuwa mnyama yupo kwenye target kisha mlenge sehemu inayotakiwa.
(4) Ikitokea bahati mbaya umemjeruhi basi Usifanye kosa kumuacha hai. Hakikisha kwa gharama zozote mnyama huyo habaki hai.
(5) Kumuacha hai ilihali amejeruhiwa ni hatari kubwa sana.
(6) Ni vema ukawinda peke yako ili kuongeza umakini na pia kuzuia mnyama kushtuka mapema na kukimbia.
(7) Ni aibu, fedhea na hatari kubwa kwa mwindaji kushindwa kuua mawindo yake.
Uwindaji kwenye mapori yetu unahitaji umakini Mkubwa Sana.
Baadhi ya Wanyama hatari wanapojeruhiwa na mwindaji Ni Mbogo.