Kwa watumiaji wa Google Pixel

Mkuu leo mic imeanza kufanya kazi yenyewe ila sidhani kama itamaliza siku

 
Tatizo limejirudia tena
 
Pixel zote mpaka 4 zinatakiwa ziwe na February patch 2023. Pia hio psiphon usiiamini sana kama vpn,
Na mimi hilo ndio linalonishangaza, wakati Pixel 4 wametoa End of life mwezi wa pili lakini mi bado sijapata updates
 
Pixel zote mpaka 4 zinatakiwa ziwe na February patch 2023. Pia hio psiphon usiiamini sana kama vpn,
Nimejaribu kufatilia kwenye pixel help nimeona taarifa kuwa Simu ambazo ziliuzwa kupitia Google Store zitapokea update ndani ya wiki mbili

Simu ambazo zilinunuliwa sehemu tofauti na Google Store zitachukua muda kupokea updates

Ila hawajaweka wazi maximum time ya kusubiria
 
Toka ununue umewahi pokea update?
 
Basi unaweza pata kwa baadae mkuu, labsa imechelewa tu huku.

Nilikuwa nahofia vile vimeo vya mitandao ya simu ambayo havipati kabisa updates.
Ni kweli mkuu nitaipata hiyo updates japokuwa huku mambo bado juu chini kama miguu ya fundi cherehani, mara microphone ike mara itoweke

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…