Kwa watumiaji wa Google Pixel

Mpya vs Used.

Flagship zote used zina camera nzuri sio Pixel tu iwe Samsung, Iphone, Sony, LG, Oneplus etc lakini issue zinakuwa ni refurbished, na kununua Refurbished bongo ni kama Kubet.
 
Mpya vs Used.

Flagship zote used zina camera nzuri sio Pixel tu iwe Samsung, Iphone, Sony, LG, Oneplus etc lakini issue zinakuwa ni refurbished, na kununua Refurbished bongo ni kama Kubet.
Nimechukua used Google pixel 3 xl tangu mwezi wa 10 mwaka jana mpaka sasa naona ipo poa tu labda inibumie huko mbele, kiukweli ina camera kali sana mpaka wateja wa picha wana furahia picha kung'aa vile nahivi niwasukuma! [emoji23]
 
Ni sehemu gani bongo naweza Pata flagship za miaka 3 ya nyuma og ambazo sio refurbished
njoo tufanye biashara boss wangu ulikuwa unahitaji flagship gani? mim nauza OG used na sio refurb.. online store cheki "eli_dealz" instagram au njoo whatsapp

0764081567
 
Kwa sababu alitaka ununue simu mpya yenye mahitaji uliyotaka.
Kama ni simu used kuna option nyingi tu zenye kamera kali ila zina shida kibao
 
Kama sio Refurb ina maana ununue kwa mtu mkononi ambae alinunua Mpya.
Mkuu hujawahi ku experience tatizo la microphone bug kwenye Google pixel baada ya kufanya update?

Hii ishu imekuwa kero sana, yani simu kuongea ni mpaka uweke loud, uki test kwenye audio recorder bado mic haifanyi kazi

Mpaka kwenye video recorder ndio mic inafanya kazi na penyewe ukiwa unarekodi kupitia camera ya nyuma, ukirekodi kwa kamera ya mbele utapata sauti mbovu sana.

Kuna muda microphone inafanya kazi vizuri yani kila idara bila mkwamo ila haichukui muda mrefu tatizo linajurudia tena.

This is too annoying
 
Inaonekana ni hardware issue kwa upande wa Pixel yako.. sijawahi experience hii kitu, na mimi nimtumiaji wa Pixel mzuri tu kwa miaka 5 sasa
 
Inaonekana ni hardware issue kwa upande wa Pixel yako.. sijawahi experience hii kitu, na mimi nimtumiaji wa Pixel mzuri tu kwa miaka 5 sasa
Sio hardware maana ingekuwa hivyo hata video recorder isingefanya kazi, na bado kusingekuwa na muda ambayo inarudi katika ubora wake
 
Sina Pixel mkuu, nimecheki online Pixel zina Microphone mbili (pengine sio pixel zote), microphone ya juu kwa Ajili ya Video na ya chini kwa ajili ya Sauti za kawaida.

Pengine moja ya Microphone zako haifanyi kazi inafanya ya video.

Kuna Weird solution nimeiona download hii app halafu ifungue, inasolve hilo tatizo

Ok nashukuru kwa respond yako ya haraka ila kabla sijaenda kwenye hiyo link nilikuwa nataka nikukumbushe kuwa hiyo microphone ambayo inakata sauti wakati wa maongezi ya simu, kuna muda inajirudi inafanya kazi vizuri tu

Na hili nimejaribu kuangalia kwenye community ya pixel nimeona wengi wakilalamika.

Kuna baadhi walipewa zile secret code walivyoingiza ika fix lakini wengine ikagoma
 
Nimechukua used Google pixel 3 xl tangu mwezi wa 10 mwaka jana mpaka sasa naona ipo poa tu labda inibumie huko mbele, kiukweli ina camera kali sana mpaka wateja wa picha wana furahia picha kung'aa vile nahivi niwasukuma! [emoji23]
3xl Ina picha kali kuliko iPhone 7,8, plus na x Na Xr wote wanaufyata kwa pixel 3
 
Jaribu hio app mkuu
 
Hii app kuna hatua gani ya kufanya baada ya kuifungua?
 
Unashauria kwa simu za Google Pixels baada tu ya ku update fanya kureset/factory format ili zile updates zitake changes... Nmeona wengi wanadai hii njia inasaidia sana endapo ukimaliza ku update afu simu ikazingua fanya kubackup vitu muhimu kisha reset itakaa sawa... Ukiona inazingua bado just roll back version ya nyuma/downgrade OS.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…