Kwa watu wenye changamoto ya vipara

Hakika mkuu, mi ninao umechukua karibu kichwa kizima, umeniharibia mwonekano wangu , navaa sana kofia mara nyingi ili kuuficha.Nikipata hela lazima niutibu
Chukua wigi mkuu wakati unatafuta hela ya kwenda kupandikiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…