Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,648
- 6,692
- Thread starter
-
- #81
Sidhani kama inafanya kazi kwa namna hiyo navyojua utapaka walau mara mbili kwa wikiUpaki kila siku ukishapaka mara moja ndio basi tena
Kipara hata sio tatizo , mimi ma urasi wangu napenda nipate kipara cz udevu wa kutisha ninaoMpaji Mungu njoo 😆 nikununulie kawigi
Hutaki nikununulie kawigi Mkuu😎Kwamba mnaogopa vipara sana?
Mimi ni rasi kana wewe ila watu wenye upara nawakubaliHutaki nikununulie kawigi Mkuu😎
Inabidi tu kujikubali jinsi ulivyo, sema wengine huwa hawataki kuikubali hiyo haliKipara hata sio tatizo , mimi ma urasi wangu napenda nipate kipara cz udefu wa kutisha ninao
😅Mkuu kupakwa yale magundi kichwani sio POA.
😅Nani alikuambua upara ni changamoto?
😅Hilo wigi linapachikwaje? Je haliwezi athiri kichwa kwa kuziba vinyweleo vya kuingiza hewa kichwani?
Wenye vipara wanavikataa wewe huna kipara ndiyo unakitakaMimi ni rasi kana wewe ila watu wenye upara nawakubali
😅Mkuu kupakwa yale magundi kichwani sio POA.
Sure , mtu anae jikubali ni mjanja sanaInabidi tu kujikubali jinsi ulivyo, sema wengine huwa hawataki kuikubali hiyo hali
Niskilize mimi mkuu hiyo gundi ukhishapaka utatumia ndani ya mwezi mzima halafu utaosha kichwa then unatia wigi lako, kwa mara ya kwanza utahitaji kwenda salon ila mara nyingine zote unaweza kufanya mwemyewe ukiwa nyumbani hiyo gundi ni kali sana aiwez toka kwa mara mojaSidhani kama inafanya kazi kwa namna hiyo navyojua utapaka walau mara mbili kwa wiki
Wabongo hawaelewi wanapenda kufake kila kituSure , mtu anae jikubali ni mjanja sana
Kwetu wana vipara na ndevu nyingi isipo kuwa mimi tu🤣Wenye vipara wanavikataa wewe huna kipara ndiyo unakitaka
Ndiyo ujue kipara kimeshakukataaKwetu wana vipara na ndevu nyingi isipo kuwa mimi tu🤣
Uwe makini kwenye uzi wetu natupia unyama flani hivi😅Wabongo hawaelewi wanapenda kufake kila kitu
Kuna kuwa smart kwa standard fulani wala siyo shida lakini ikifikia stage ya kuvaa wigi,kupaka mafuta miguu na kuvaa vipensi ni hatari..Huo nduo ushamba mlionao watanzania sasa kama utaki kupendeza why uvae nguo, why upake mafuta na kadhalika tembea hivo hivo mchafu ndio nitaielewa point yako