Kwa wasiomjua invisible ndo huyu

Kwa wasiomjua invisible ndo huyu

Yaani kuna watu wanawafanya hawa mods kama waungu yaani mtu hofu ya mungu inamtoka ila anaogopa kumchokoza fulani ati kisa mod......

Kumtania invisible ni sawa na kukutania wewe ila mipaka iheshimiwe.

Naona mods ni watu wa kawaida, kama kaka, baba au mtu yeyote.
 
Da bora aendelee kuwa invisible hivyo hivyo
 
So what? hivi mtu unaweza kujisifia vile ulivyo? kabla hujakuwa binadamu unapiga kura kuwa sura yako iwe kama ulivyo? The word to the wise man suffices.

Hivi unajua hata ulichoandika au umejaza tu miherufi
 
.....duh!!...sura ngumu...hiyo... mtoto wa mkulima anaonekana mrembo..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom