Kwa wasiomjua invisible ndo huyu

Kwa wasiomjua invisible ndo huyu

uyo muke yake sasaa!!
 

Attachments

  • 1409773993192.jpg
    1409773993192.jpg
    8.4 KB · Views: 179
Mhhh wa hivi akimkamata demu anamkamua kishenzi. Na km ni Kicheche atajuta kuzaliwa! hahaaa:llama:
 
Ukikanyaga makohozi ya hako kajamaa fungus inakuhusu.
 
Yaani kuna watu wanawafanya hawa mods kama waungu yaani mtu hofu ya mungu inamtoka ila anaogopa kumchokoza fulani ati kisa mod......
Sema wewe.

Mimi kuna miezi kadhaa ya nyuma nilichangia uzi fulani basi wakuda wakawa wananichongea wanamwita invisible, matokeo yake hakuna kilichotokea bado nadunda mtaani.

Na kuna uzi mwingine wakuda wakachongea tena wakapotezewa. Naona walitahayari sana.

Nyie wakuda mkome tabia za kuchongea wenzenu ilimradi hazijavunjwa sheria za JF nyie kaeni kando muendelee kutafuna bisi(popcorn)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom