Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,045
- 126,063
Ila kwa sasa atapata tabu sana.Acha tu sema hurrem kitakachomponza ukatili wake na Suleiman ameshaanza kujua ubaya wake.....ye mwenyew alimsumbua maidevlan pakawa hapatoshi Leo princess anamwona mbaya