Kwa wapenzi wa tamthilia ya sultan

Kwa wapenzi wa tamthilia ya sultan

Hihihihihihihih .....hiyo kitu ntajikanda maji ya motoooo
Hapana aiseeee. Waeza kuwa mwehu ujue. [emoji85] [emoji85] [emoji85]

Kwa dharura sawa ila mtu yupo halafu wanapewa wengine wewe ukienda unaishia kukumbushwa mabaya ya nyuma. Hapana aiseee narudi hapana shooo.

Mahidevra anajiweza kwa kweli na wewe Zeshchriss. [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Me napenda the way yule anayeongea anampatia sana kuanzia maneno has vitendo, "hebu nipishe mimi, chefuuuu" hahahhahahaha na isabella atapata tabu sana na hurrem atapangiwa njama za kuuliwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hapana aiseeee. Waeza kuwa mwehu ujue. [emoji85] [emoji85] [emoji85]

Kwa dharura sawa ila upo halafu wanapewa wengine wewe ukienda unaishia kukumbushwa mabaya ya nyuma. Hapana aiseee narudi hapana shooo.

Mahidevra anajiweza kwa kweli na wewe Zeshchriss. [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hahahaha nlivyo na hasira Mimi niweze wapi....kaleta wa kwanza ...kaleta wa pili nipo tu !!!? Thubutuu???! Ile inapendeza we ukawakute wenzio uwaringie sio wakukute watunishe misuli khaaaa
 
Naifuatilia ndugu yangu japokuwa naweza nikapitwa wiki nzima nikawa nahadithiwa na mdada wangu mpaka Weekend ndio naiangalia marudi kwa kituo.

Wewe je Kaka ake?
mm kila siku hainipiti[emoji23] ,, maaana hapa kila mtu anafatilia
 
haswaà, ilivoanza sikuifatilia sana kutokana na mizunguko ya hapa na pale,, ila kwa sasa nishakuwa mfuasi wa hiyo sultan,,

napenda sana kuwaangali akina sungula
Mie niliifuatilia ila kuna kipindi nilikwenda Duga kama wiki mbili hakukuwa na king'amuzi cha Azam basi nikaishia kuisikia tu.

Niliporudi ndio nikaendelea nayo. Sumbula mzee wa Cheefuu.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Back
Top Bottom