Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 8,676
- 19,204
Yap huyo huyo SadikaUnamaanisha Victoria ambaye alizamishwa na mashrach mwenyewe baada ya kupewa adhabu na ibrahim pasha?
Yap huyo huyo SadikaUnamaanisha Victoria ambaye alizamishwa na mashrach mwenyewe baada ya kupewa adhabu na ibrahim pasha?
Mzee povu la nn, Baki na Startimes uanglie movie za kihindi zilizotafafsiriwa na WakenyaAzam wathenge machannel yao hadi uwe na king'amuzi chao
Hahahahaha mwambie a download app acheki kwenye cm ....ni mb 300 tu kila sikuMzee povu la nn, Baki na Startimes uanglie movie za kihindi zilizotafafsiriwa na Wakenya
Hahaha vipi kwa wale waliosoma kitabu xha historia ya empire ya Ottoman?? Nasikia waziri wa uturuki alilalamika sna hiyo tamthilia haijabase kwwnye kuonyesha jinsi empire ya ottaman ilivyo conquer mataifa mbali mbali bali inaonyesha maisha ya walivyooishi kwenye harrem zao kwa sasa ikuluNaangslia wanaume wanaochangia hii mada kua wanaangalia hii seies
Dogo una DSTV??Azam wathenge machannel yao hadi uwe na king'amuzi chao
Watu tunaangalia kwenye sm download azam tv ufurahie sultanAzam wathenge machannel yao hadi uwe na king'amuzi chao
Puru hahah nampenda olympia mama ake AlexanderNa porus je
Kaka naomba link, nilikuwa naangalia youtube pia ila nimefika mahali nimekwama, kila nikitafuta muendelezo nakosaSie tulio angalia youtube mpka karibu na mwisho tumwage ubuyu?
Umefika episod ya ngap?Sie tulio angalia youtube mpka karibu na mwisho tumwage ubuyu?
33 mkuu, tatizo haina subtitlesKaka naomba link, nilikuwa naangalia youtube pia ila nimefika mahali nimekwama, kila nikitafuta muendelezo nakosa