Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,450
- 25,162
Hahahaha nampenda yule[emoji23] [emoji23] [emoji23] sumbula anafurahisha sana,ila valden soon atakua chini ya hurrem
Hahahaha nampenda yule[emoji23] [emoji23] [emoji23] sumbula anafurahisha sana,ila valden soon atakua chini ya hurrem
me pia timu yangu hiyo hiyo babeTeam sumbula na vailden
Roho mbaya ili iweje ...ili mumfanye hadije kama mlivyomfanya zari sio???Iseeeee naombea ucku na mchana nigarkarifa awe mjamzito iseeee yaani nitafurahi sana
Ule ndio uanamume sasa.Sultan wao jeuri kama nini
Oyeeeeeee. Mie Hurrem hajawahi nivutia jamaani lol.Team Isabella hapaa na tunahakikisha hurrem ananyooka kama mistari ya rula ....ile tamthilia ni konyooo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] palichekesha sana mwaya.Mchepuko wangu hapo nilichekaa
Hii tamthilia inanifanya kila siku nakesha tuMie pia naipenda jamaani muwe mnaweka updates maana usingizi unakuwa mtamu saa nyingine.
Ukiona hivyo ujue puss not good kama ya hamissaHahahaaa. Ili Ibrahim Umbuke eeeee?
Ila wanaume hapana bana baada ya kumtumia tu hataki hata kumuoma dada wa watu. Lol
Mie inanipitaga siku nyingine sababu ya kupenda usingizi.Hii tamthilia inanifanya kila siku nakesha tu
Hatoambukizwa na hurrem akijitia wazimu ataondoka paleHapa nawaza jamaani hawawezi muambukiza Princesser Isabela hiyo ugonjwa ya tauni kweli?
Ila Hurrem kapatikana banaa.
Sanaaaa. Na hakopeshi yaani anawapa papo hapo.Sultan wao jeuri kama nini
Hahahaa. Ila uko mbele patakuwa patamu sana.Hatoambukizwa na hurrem akijitia wazimu ataondoka pale
Hurrem ana roho ya jini makata mbwa yule ana roho mbaya shetani kasingiziwa ......Oyeeeeeee. Mie Hurrem hajawahi nivutia jamaani lol.
Wacha Isabella amtetemeshe kidogo na yeye aipate pate. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
SanaaHahahaa. Ila uko mbele patakuwa patamu sana.
Ndio maana yaani MTU alale na were na hapohapo akufukuze kwenye kasri maana take nn?Roho mbaya ili iweje ...ili mumfanye hadije kama mlivyomfanya zari sio???
Yule demu anampenda sana Ibrahim Pasha yeye ndiyo aliye jipeleka chumbani kwa Pasha, Pasha uzalenda ukamshinda akapiga mambo...Hahahaaa. Ili Ibrahim Umbuke eeeee?
Ila wanaume hapana bana baada ya kumtumia tu hataki hata kumuoma dada wa watu. Lol
Me nampenda sanaaaaMzee wa sijali... Ananikosha sana hata mimi.
Yaani kama mie alinikera sana. Na hakufanya ubinadamu.Ndio maana yaani MTU alale na were na hapohapo akufukuze kwenye kasri maana take nn?