Kwa wapenzi wa tamthilia ya sultan

Kwa wapenzi wa tamthilia ya sultan

ungeenda wapi sasa, pale ni kuoga na kupiga marashi unamsubiria sultan ,

ila wafalme wamekufa wamekula vingi[emoji23]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] yaani na wanapambwa hao yaani saa nyingine hata Maharusi wa huku kwetu wanasubiri.

Yaani vya kila aina kaka. [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Hahahaha nlivyo na hasira Mimi niweze wapi....kaleta wa kwanza ...kaleta wa pili nipo tu !!!? Thubutuu???! Ile inapendeza we ukawakute wenzio uwaringie sio wakukute watunishe misuli khaaaa
Umeonaeee. Kwa pale anayewakuta wenzie ndio anaenziwa hasaaa kuliko yule zilipendwa.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] yaani na wanapambwa hao yaani saa nyingine hata Maharusi wa huku kwetu wanasubiri.

Yaani vya kila aina kaka. [emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji23] [emoji23] ila sasa ujifanye unaoa wake watatu uone cha moto
 
Endelea nayo sasa kaka iko poa hasaaa. Ila kuna watu wapya wapya wachache.
Unanitamanishaa ...niliishia nahisi yule kijakazii simjui jina lakin alibanduliwa na mfalme
 
Umeonaeee. Kwa pale anayewakuta wenzie ndio anaenziwa hasaaa kuliko yule zilipendwa.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haswaaaaa ...asikwambie mtu kuletewa mwenzio inaumaaaaa inachoma kama pasi
 
Unanitamanishaa ...niliishia nahisi yule kijakazii simjui jina lakin alibanduliwa na mfalme
Duuh! Atakuwa Alexandra ( sijui nimeliandika ipaswavyo) huyo alikuwa mtumwa ila siku hizi anaitwa Hurrem na ana watoto wa 3 kwa Sultan.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Haswaaaaa ...asikwambie mtu kuletewa mwenzio inaumaaaaa inachoma kama pasi
Sanaaa. Tena ile ya waziwazi.

Kama jana uliona Hurrem alipotoka kwa Mama yake Sultan Valide walipoambiwa wamuelekeze masharti ya ndani ya kasri yule Issabela alipofika pale nje akashika ukuta nusu azimie.

Kuletewa mwenzio inauma banaa.
 
Duuh! Atakuwa Alexandra ( sijui nimeliandika ipaswavyo) huyo alikuwa mtumwa ila siku hizi anaitwa Hurrem na ana watoto wa 3 kwa Sultan.
Ashafikisha 3 ila alikuwa mzuriii...na yule kiherehere wa mfalme bado yupo ??
 
Sanaaa. Tena ile ya waziwazi.

Kama jana uliona Hurrem alipotoka kwa Mama yake Sultan Valide walipoambiwa wamuelekeze masharti ya ndani ya kasri yule Issabela alipofika pale nje akashika ukuta nusu azimie.

Kuletewa mwenzio inauma banaa.
Acha tu sema hurrem kitakachomponza ukatili wake na Suleiman ameshaanza kujua ubaya wake.....ye mwenyew alimsumbua maidevlan pakawa hapatoshi Leo princess anamwona mbaya
 
Back
Top Bottom