Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,072
- 126,145
Hahaaa. Na alistahili kule kufukuzwa kwa fedheha kwa kweli.Yule demu anampenda sana Ibrahim Pasha yeye ndiyo aliye jipeleka chumbani kwa Pasha, Pasha uzalenda ukamshinda akapiga mambo...
kama member hapo juu hamissa alivyo sema anatamani nigal khalfa apigwe mimba na Pasha sijui itakuaje aisee
Umekuwa ka mie Mkuu nawaza akipigwa mimba kisha Hurrem akajua ni mimba ya Ibrahim Pasha sijui Ibrahim ataishije maana ataipata pata.