Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,650
- 21,012
hahaha, eti hawajielewi! rock tamu sana. unasikiliza solo, bass, drums, percussions, keyboards nk vikitoa mziki. genres zingine naonaga nyepesi sana na husikiliza mara chache sana.kuna yule dada anaitwa Ziadah ndiyo alikuwa anakiendesha. naona aliondoka na live wire ikafa.
Ni kweli kabisa nilikuwa sasa hv huwa nasikiliza online kupitia Tunein radio statiin za mbele unachagua tu km utapenda Hard, Modern, Alternative, Classic, Metal, etc. Huu ndio mziki wangu mkuu na umenifanya watu wengi wasinielewe, nami nilishawaeleza kamwe hatanielewa sbb hawajielewi