Kwa Wapenzi wa Nyimbo za Rock

Kwa Wapenzi wa Nyimbo za Rock

Hao ni Michael Learns to Rock (MLTR) ingawa kuwa mkweli sijawahi kuwasikiliza. Ila kutokana ma mapenzi kwa rock, mkuu ntatafuta japo album yao moja niwasikilize.

Tafuta mkuu. Michael Learns To Rock - SomeDay hiyo bonge la nyimbo
 
Mkuu shida ni kwamba, rock bands zinafanya tours at least kwa nchi ambazo zina atleast kamuamko na mziki huo. So mi naona, kwa sisi wapenzi wa rock tutaishia kuangalia live tours Youtube. Ni sawa na kusema team za NFL kuja kucheza mechi mbili hapa bongo!. Ila haina mbaya coz We will always Rock!

Dah! One day yes . naweza okota embe kwenye Mnazi. Nimepata fulsa ya kushuhudia rock band yoyote iki parform live
 
Kaka wewe ni mkali. Ila acha na mimi nidondoshe watu wangu hapa:

1. Green Day
2. Coldplay
3. Avril Lavigne
4. Kelly Clarkson
5. Simple Plan
6. Nickle Back
7. 3 Doors Down
8. Train
9. The Script
10. 3rd Eye Blind
11. The Red Jampsuit Apparatus
12. Bon Jovi
13. Miley Cyrus
14. Creed
15. Hinder
16. Fall out boys
16. Metalica
17. Guns n Roses
18. Jonas Brothers
19. Bryan Adams
20. The Calling

Number 3 n 4 Umenikuna naomba nimuongeze na huyu Pink
 
Mpenzi yeyote wa miondoko ya Rock Lazima atakuwa ni mtu mwenye akili sana.
Unajua hata enzi za bendi zetu Tanzania miaka ya 80. Tulikunwa na upigaji gitaa wa akina Kasheba, Baltazar, Mulenga, Lubaba, Kawelee.... Etc. Guitars rule

yes Ni kweli,SI unamuona masoud masoud
 
Ni vipi humu ndani?!. Natumaini mko poa asee.
Katika moja ya aina za muziki nnazokubali mahadhi na rhythm zake ni ile ya Rock. Ingawa sio aina ya muziki ambayo inajulikana na kupendelewa sana na watanzania wengi, ni aina ya muziki ambayo pia nayo kwa namna moja au nyingine zina ujumbe na uzuri wa sauti (za waimbaji pamoja na vyombo).

Kama na wewe ni mmoja wa wapenzi wa muziki aina ya rock, niambie bendi gani (rockstar gani) unaikubali zaidi katika genre nzima ya rock bila kuangalia aina ya rock wanayohusika nayo.

Kwa kuanzia, binafsi yangu nazielewa sana hizi bendi:-
i) Alice in Chains
ii) Metallica
iii) Black Sabbath, na
iv) AC/DC

Zingine nazo ziko poa sema hizo mi ndo nazielewa.

80s ilikuwa bomba, nimefurahi sana.Mimi kuna
I) The Cure
ii) Five For Fighting
iii) Lifehouse
iv) All American Rejects
 
kitu kingine kilichogundua kuwa wapenzi WA rock karibu wote Ni wajanja,huwezi kumkuta mtu mjinga mjinga anapenda rock

Ukweli mtupu. Coz mpaka mtu kwanza ajue kuna mziki wa aina hii, ujue huyo ni mtu mjanja (mi nawaitaga "free-minded individuals"). Af apende rock na kuielewa, hapo ndo unajua kuwa, akili inafanya kazi ya kuchanganua mistari migumu kama ya kina Dave Mustaine, Kurt Cobain (may he R.I.P).
 
Back
Top Bottom