Kwa Wapenzi wa Nyimbo za Rock

Kwa Wapenzi wa Nyimbo za Rock

Dah nmefurahi kukuta huh uzi kuna hawa limpbizkit, maroon 5,nickelback nawakubali sana

Hahaha, mkuu Limp Bizkit wale mi nawaitaga rockstars watukutu. Na ni moja ya bendi za rock ambazo zime'pioneer style ya Nu Metal na wanaimudu balaa. Unamsikia Fred Durst na his crazy lyrics na Borland na ma'facepaint yake duh!
 
Kitu cha AIC to the eardrums
 
Attachments

  • 1437932758691.jpg
    1437932758691.jpg
    34 KB · Views: 107
Ni vipi humu ndani?!. Natumaini mko poa asee.
Katika moja ya aina za muziki nnazokubali mahadhi na rhythm zake ni ile ya Rock. Ingawa sio aina ya muziki ambayo inajulikana na kupendelewa sana na watanzania wengi, ni aina ya muziki ambayo pia nayo kwa namna moja au nyingine zina ujumbe na uzuri wa sauti (za waimbaji pamoja na vyombo).

Kama na wewe ni mmoja wa wapenzi wa muziki aina ya rock, niambie bendi gani (rockstar gani) unaikubali zaidi katika genre nzima ya rock bila kuangalia aina ya rock wanayohusika nayo.

Kwa kuanzia, binafsi yangu nazielewa sana hizi bendi:-
i) Alice in Chains
ii) Metallica
iii) Black Sabbath, na
iv) AC/DC

Zingine nazo ziko poa sema hizo mi ndo nazielewa.
AC/DC niliwaelewa sana kwenye tuzo za Grammy 2015 ile show walifanya haijawah tokea bonge moja la show. Walipiga ngoma yao High way to hell ile ndio ilikua best show ase
 
The Script, Imagine dragons, One Republic nawakubali sana hawa watu.

Mkuu hawa vijana wa One Republic nawaelewa sana katika maudhui ya mapenzi. Hapa sasa hivi naskiliza track yao ya Burning Bridges. Can't Stop nayo ni noma ariff
 
Mkuu hawa vijana wa One Republic nawaelewa sana katika maudhui ya mapenzi. Hapa sasa hivi naskiliza track yao ya Burning Bridges. Can't Stop nayo ni noma ariff

Mkuu hyo album yao hataree #Native husogezi track ase ni shida. Hizi ngoma hua zinahisia sana asikwambie mtu. Kuna ngoma inaitwa If I lose myself, I lived, naikubal sana na Feel Again kwenye hyo album.
 
Mkuu BansenBurner hii Native nakumbuka nlishawahi msikilizisha raia mmoja hivi, bro siku hiyo hiyo nlipata mfuasi asee. Counting Stars ni shidalashida asee
 
Last edited by a moderator:
Mkuu BansenBurner hii Native nakumbuka nlishawahi msikilizisha raia mmoja hivi, bro siku hiyo hiyo nlipata mfuasi asee. Counting Stars ni shidalashida asee

Haha zina catch feelings sana mkuu kwa mtu yoyote anaye elewa goodmusic lazima akubali #Native is one of the best One Republic album
Alaf uzuri wa soft rock lyrics hua wanaumiza sana vichwa
 
Last edited by a moderator:
Bro acha tu. Huu mziki ni we mwenyewe tu. Kitu mi nnachoupendea ni pale unakuta aina zaidi ya 25 za rock tu e.g. Heavy Metal, Thrash Metal, Deathmetal, Soft and Hard rocks, n.k. Na kila moja ina vibe ambayo kwa namna moja au nyingine inafit sehemu au moment flani katika life au any mindset. Kama back then kuna kipindi nlikuwa na magazab ya ajab ajab (blame it on high testosterone in the heydays za teenage) nlikuwa napenda kuwasikiliza Megadeath na Anthrax
 
Kaka wewe ni mkali. Ila acha na mimi nidondoshe watu wangu hapa:

1. Green Day
2. Coldplay
3. Avril Lavigne
4. Kelly Clarkson
5. Simple Plan
6. Nickle Back
7. 3 Doors Down
8. Train
9. The Script
10. 3rd Eye Blind
11. The Red Jampsuit Apparatus
12. Bon Jovi
13. Miley Cyrus
14. Creed
15. Hinder
16. Fall out boys
16. Metalica
17. Guns n Roses
18. Jonas Brothers
19. Bryan Adams
20. The Calling
 
Napenda rock , house, Electronic & zouk. Napata burudanu sana kusikiliza mahadhi hayo.
1) linkin park
2) The script
3)Fall out boy
4)The click five
5) Green day
6) Gin Blossoms
7)nickelback
8)codplay
9)Matro station
10) Maroon 5

Ni vipi humu ndani?!. Natumaini mko poa asee.
Katika moja ya aina za muziki nnazokubali mahadhi na rhythm zake ni ile ya Rock. Ingawa sio aina ya muziki ambayo inajulikana na kupendelewa sana na watanzania wengi, ni aina ya muziki ambayo pia nayo kwa namna moja au nyingine zina ujumbe na uzuri wa sauti (za waimbaji pamoja na vyombo).

Kama na wewe ni mmoja wa wapenzi wa muziki aina ya rock, niambie bendi gani (rockstar gani) unaikubali zaidi katika genre nzima ya rock bila kuangalia aina ya rock wanayohusika nayo.

Kwa kuanzia, binafsi yangu nazielewa sana hizi bendi:-
i) Alice in Chains
ii) Metallica
iii) Black Sabbath, na
iv) AC/DC

Zingine nazo ziko poa sema hizo mi ndo nazielewa.

Nickleback, Coldplay

Soft Rock ni habari nyingine, mipini ya 3 Doors down ni hatari!
Nickelback, Coldplay,Aerosmith etc!
Kwa ujumla soft rock inanikuna balaa!

Kitu, Summer long'

Kuna wale wameimba sleeping child

Coldplay kuna live album yao moja hivi ina Viva la Vida asee ile album ni kali bhana

Photograph wimbo wa Nicleback naupenda sana...

Kweli we unafaham Rocky... I once said, if I were to die today and asked to give three reasons why I shouldnt die today one of them would be that, I would miss rocky songs!

Me mpka nakufa kati ya hizo band azijaja Tz. Nitakua nimekosa kitu duniani

Nawependa sana Linkin park na maroon5

Hahaha, mkuu huu mziki uko poa sana asee. Hasa pale unapokuta vyombo vimepigwa vizuri na lead singers wana sauti znazoendana na maudhui ya wimbo

Linkin Park album yao ya Living Things ndo nlikuwa naitumiaga sana gym back in the days. Maroon 5 ngoma zao za One More Night na Animals zinareflect ukweli mkubwa sana katika mahusiano mengi.

Linkin park ndio best na group (rock band) namber moja kwangu Mimi.

King Shaat big up kwa kuanzisha Hi thread ili tujuane wapenda Rock

Wakuu wenzangu nakumbuka back in the days kuna kipindi ilifika kutokana na kupenda sana rock, nkajikuta najiweka katika viatu vya rockstars ka kina James Hetfield wa Metallica, Jerry Cantrell wa Alice in Chains, na Brian Johnson na kujaribu sing along to their vocals with the guitar in my hands (ingawa nlikuwa hata sijui kulipiga).

Dah nmefurahi kukuta huh uzi kuna hawa limpbizkit, maroon 5,nickelback nawakubali sana

Hao ni Michael Learns to Rock (MLTR) ingawa kuwa mkweli sijawahi kuwasikiliza. Ila kutokana ma mapenzi kwa rock, mkuu ntatafuta japo album yao moja niwasikilize.

The fray,daughtery,matchbox 20,three doors down,

Mkuu shida ni kwamba, rock bands zinafanya tours at least kwa nchi ambazo zina atleast kamuamko na mziki huo. So mi naona, kwa sisi wapenzi wa rock tutaishia kuangalia live tours Youtube. Ni sawa na kusema team za NFL kuja kucheza mechi mbili hapa bongo!. Ila haina mbaya coz We will always Rock!

F

the scorpions,dick & chicks,Chicago,brain Adams,Lenny kravitz,maroon 5,mike & mechanics,nickelback etc

Mpenzi yeyote wa miondoko ya Rock Lazima atakuwa ni mtu mwenye akili sana.
Unajua hata enzi za bendi zetu Tanzania miaka ya 80. Tulikunwa na upigaji gitaa wa akina Kasheba, Baltazar, Mulenga, Lubaba, Kawelee.... Etc. Guitars rule

Kuna its ma life ya boni jovi nimeimic kumix nyimbo za rock nakumbuka enzi za chuo rock night lazima nikamix session yangu

Hahaha, mkuu Limp Bizkit wale mi nawaitaga rockstars watukutu. Na ni moja ya bendi za rock ambazo zime'pioneer style ya Nu Metal na wanaimudu balaa. Unamsikia Fred Durst na his crazy lyrics na Borland na ma'facepaint yake duh!

Chriss doughtry

The killer _ human

Kitu cha AIC to the eardrums

The Script, Imagine dragons, One Republic nawakubali sana hawa watu.

AC/DC niliwaelewa sana kwenye tuzo za Grammy 2015 ile show walifanya haijawah tokea bonge moja la show. Walipiga ngoma yao High way to hell ile ndio ilikua best show ase

Kama uko akilini, mkuu!

Maroon4+one republican huwa nawaelewa sana hawa viumbe kwenye rock, ndo nnapoufurahia mziki wa rock

Mkuu hyo album yao hataree #Native husogezi track ase ni shida. Hizi ngoma hua zinahisia sana asikwambie mtu. Kuna ngoma inaitwa If I lose myself, I lived, naikubal sana na Feel Again kwenye hyo album.

Mkuu BansenBurner hii Native nakumbuka nlishawahi msikilizisha raia mmoja hivi, bro siku hiyo hiyo nlipata mfuasi asee. Counting Stars ni shidalashida asee

Haha zina catch feelings sana mkuu kwa mtu yoyote anaye elewa goodmusic lazima akubali #Native is one of the best One Republic album
Alaf uzuri wa soft rock lyrics hua wanaumiza sana vichwa

Bro acha tu. Huu mziki ni we mwenyewe tu. Kitu mi nnachoupendea ni pale unakuta aina zaidi ya 25 za rock tu e.g. Heavy Metal, Thrash Metal, Deathmetal, Soft and Hard rocks, n.k. Na kila moja ina vibe ambayo kwa namna moja au nyingine inafit sehemu au moment flani katika life au any mindset. Kama back then kuna kipindi nlikuwa na magazab ya ajab ajab (blame it on high testosterone in the heydays za teenage) nlikuwa napenda kuwasikiliza Megadeath na Anthrax

Kaka wewe ni mkali. Ila acha na mimi nidondoshe watu wangu hapa:

1. Green Day
2. Coldplay
3. Avril Lavigne
4. Kelly Clarkson
5. Simple Plan
6. Nickle Back
7. 3 Doors Down
8. Train
9. The Script
10. 3rd Eye Blind
11. The Red Jampsuit Apparatus
12. Bon Jovi
13. Miley Cyrus
14. Creed
15. Hinder
16. Fall out boys
16. Metalica
17. Guns n Roses
18. Jonas Brothers
19. Bryan Adams
20. The Calling

Wazee Hebu tuanzisheni group la whatsapp kwa wapenzi wa ROCK N ROLL sab naona kwa bongo tupo wachache sana ni bora tukajuana na kuwa pamoja tukibadilishana radha za rock za hapa na pale mnaonaje wadau? Tupia basi namba yako nianze kuwaADD fasta fasta..
 
Last edited by a moderator:
Kwa wapenzi wa rock tuma namba yako kwa 0652275300 niwaadd kwenye hili kundi la whatsapp la rock n roll
 
Wazee Hebu tuanzisheni group la whatsapp kwa wapenzi wa ROCK N ROLL sab naona kwa bongo tupo wachache sana ni bora tukajuana na kuwa pamoja tukibadilishana radha za rock za hapa na pale mnaonaje wadau? Tupia basi namba yako nianze kuwaADD fasta fasta..

I for one, I'm in bro! Soon nakusoma kipande hiko!
 
Back
Top Bottom