tracy martins
JF-Expert Member
- Aug 5, 2014
- 3,535
- 1,484
Kuna dude jingine la bon jovi linaitwa living on the prayer,, noma sana
yes,Ni hatari
Kuna dude jingine la bon jovi linaitwa living on the prayer,, noma sana
80s ilikuwa bomba, nimefurahi sana.Mimi kuna
I) The Cure
ii) Five For Fighting
iii) Lifehouse
iv) All American Rejects
Kuna dude jingine la bon jovi linaitwa living on the prayer,, noma sana
You give love a bad name - Bon Jovi mzuka sana pia na yale manywele balaa...
F
the scorpions,dick & chicks,Chicago,brain Adams,Lenny kravitz,maroon 5,mike & mechanics,nickelback etc
dah! umenikumbusha Lenny Kravitz na vibao kama fly away na again, dah!
Pia kuna kitu cha Seether feat Amy lee kinaitwa broken, ni shidder!
Usisahau Have a nice day la bon jovi ni noooooommmm..
dah! umenikumbusha Lenny Kravitz na vibao kama fly away na again, dah!
Pia kuna kitu cha Seether feat Amy lee kinaitwa broken, ni shidder!
don't forget Aerosmith
hao the Rasmus kuna nyimbo zao kama no fear na sail away nazo ziko poa. kuna wa Finland wenzao wanaitwa HIM wako poa sana.The Rasmus nao wana kitu kinaitwa Have a nice day, bila kusahau kifaa chao kingine kinaitwa may be tomorrow! Pia kuna dude la Bon Jovi linaitwa living on a prayer! Ni hatari, inasemekana hili dude ndo lime-revolutionize rock toka classic kuja modern rock!!
Wimbo umetulia naupenda balaa alafu si unajua masauti ya rochers yanakwaruza fulani hivi, hapa Bon Jovi waliua kabisa na hili kitu classic!
The fray,daughtery,matchbox 20,three doors down,
Nilitaka kumuweka P!nk nikaona kama wadau wangelalamika sab sa nyingine anaimba pop
hii ni moja ya bendi nzuri na wanamashairi simple sana . album zao seventeen, away from the sun na better life huwa nazisikiliza consecutively na huwa hazinichoshi.Aisee mi 3 doors down wananikuna sana na vitu kama behind those eyes, na moja nimesahau jina ila baadhi ya lyrics ni " i woke up today in London, as the plai was touching down.......", aisee, i love rock bhana, nilifikiri ni mtized pekee nipendae rock!
Miaka ya nyuma kidogo EA Radio na Tv walikuwa na kipindi siku za j2 lkn vilifutwa! BTW kutana na wakali hawa;
Foo Fighters
REM
Natalie Imbruglia
Natasha Bedingfield
Kyllie Minogue
Blink 182
Dirk Bentley
3 Seconds to Mars
Na wengine wengi. Mmenigusa sana sikutegemea km naweza kupata wadau wa muziki huu wa watu wanaojielewa