INGENJA
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 4,990
- 4,269
Linkin Park album yao ya Living Things ndo nlikuwa naitumiaga sana gym back in the days. Maroon 5 ngoma zao za One More Night na Animals zinareflect ukweli mkubwa sana katika mahusiano mengi.
ndugu yangu ukitaka mimi nifanye kazi kama mtumwa,nisahau mpaka kula wewe niwekee rock music hasa ngoma za linkin park,mimi huwa ni mtu emotional sana ndomana napenda vitu vilivyo deeper,nashindwa kuelezea hapa ila i always try to think behind if not beyond my brain