Pato anajua sana,, collaboration nyingi anazopewa ukzubaa anakupotezaPato ni hatari
Na kwenye love you die aisee
Sana aiseeNa nyingi anapoteza aysee
Mambo Yanaenda mkuu?Nipo mkuu
Simii anajua sana,, SimisolaSimii balaa, ila kaka yao karudi na FIA FIA ni shida tupu
Mkuu umenikumbusha mbali sana, wimbo mzuri sana.Seyi Shay-YoLo[emoji91] [emoji91]
Sana mkuu,,, wmbo mzuri sana huu,,,Mkuu umenikumbusha mbali sana, wimbo mzuri sana.