M Z A N Z I B A R I
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 21,699
- 117,152
swadktaInabidi Siku Tukate Keki Waumin Wa Hili Jukwaa Maana si Kwa Hii Miaka..
swadktaInabidi Siku Tukate Keki Waumin Wa Hili Jukwaa Maana si Kwa Hii Miaka..
kila siku makabila yanaongezekaYaani Nimeangalia ya 13Episode Nikatamn Kuona Nachotamn Kuona Sikuona, Nikaja Ya 14 Nayo Ni Vile Vile Naona Kama Inanirudisha Nyuma Ambako Pia Sipaelewi Ni Wapi.
Imekuja Na Vitu Vingii Vingii
Ntakuja Zanzibar Nahisi Utakua Mwenyeji Wangu InshaAllah.swadkta
huwaogopi wazee wa 7800?Ntakuja Zanzibar Nahisi Utakua Mwenyeji Wangu InshaAllah.
Kama Lile Kabila Walojipanga Marangi Yale Wamekua Kama Vinyago Vya Mpapuleekila siku makabila yanaongezeka
Kwani Nawewe Baharia!?? Najua Huezi Fanya Ivyo Ingekua Ivyo Tungekua Kule PM.huwaogopi wazee wa 7800?
naomba tupumzike kwanza mpaka baadae.Kwani Nawewe Baharia!?? Najua Huezi Fanya Ivyo Ingekua Ivyo Tungekua Kule PM.
mabaharia wamezua balaa mwaka huu, mpaka walio wasafi wanachanganyishwa na oili chafu.Kwani Nawewe Baharia!?? Najua Huezi Fanya Ivyo Ingekua Ivyo Tungekua Kule PM.
Kama Nawewe Baharia Usemee Maana Naona Ndo Chama Lenu Ilo Jipya!naomba tupumzike kwanza mpaka baadae.
mbavu zangu zitavunjika kwa kucheka ovyo kibaya zaidi nipo mbele ya watu ninaowaheshimu muda huu.
hujawahi kukutana na vitimbi vya mabaharia huko kwa prime minister?Kwani Nawewe Baharia!?? Najua Huezi Fanya Ivyo Ingekua Ivyo Tungekua Kule PM.
ila yule mwanamke ndie aliyekosea, alipaswa atafute suluhu na baharia wake huko huko walikofahamiana mwanzo (PM)Kama Nawewe Baharia Usemee Maana Naona Ndo Chama Lenu Ilo Jipya!
Kama Yule Baharia Wanamuita 7800 Usifike Uku Pleeezz.
Nashukuru Huwa Siruhusu Icho Kitu..hujawahi kukutana na vitimbi vya mabaharia huko kwa prime minister?
sijawahi kufika huko.Kama Nawewe Baharia Usemee Maana Naona Ndo Chama Lenu Ilo Jipya!
Kama Yule Baharia Wanamuita 7800 Usifike Uku Pleeezz.
daemusin huyu porojo unayemuona humu ndani hafanani kabisa na yule aliye nje ya JF.Kama Nawewe Baharia Usemee Maana Naona Ndo Chama Lenu Ilo Jipya!
Kama Yule Baharia Wanamuita 7800 Usifike Uku Pleeezz.
Hahahaha! Wote Itakua Nimabaharia!ila yule mwanamke ndie aliyekosea, alipaswa atafute suluhu na baharia wake huko huko walikofahamiana mwanzo (PM)
Na Usifike Uko Nakuombee Amiin.sijawahi kufika huko.
Hongera Babu Matarajiwa.daemusin huyu porojo unayemuona humu ndani hafanani kabisa na yule aliye nje ya JF.
hafanani kabisa.
hayo maneno (hafanani kabisa) yakumbuke kuanzia leo
teh teh teh.Hahahaha! Wote Itakua Nimabaharia!
Kumbe Unapitaga Uko, Kuna Siku nilikua Napitia Uzi Mmoja Ivyi Nikaona Comment Yako Nilibaki Kucheka Tu.
kwa soteNa Usifike Uko Nakuombee Amiin.
Amiin.kwa sote