mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 81,403
- 423,675
Mkuu habari za masiku uliifanyia kazi ile habari ya Dojinbaadhi ya nyakati kujisalimisha kwa adui ambaye huna uwezo wa kumshinda ni jambo zuri sana
Mkuu habari za masiku uliifanyia kazi ile habari ya Dojinbaadhi ya nyakati kujisalimisha kwa adui ambaye huna uwezo wa kumshinda ni jambo zuri sana
kuna hii KILL IT NITAIPATA WAPI maana mimi na muvi za kipelelezi damu damu
hongera /pole kwa msiba wa Taifa.
kuna hii KILL IT NITAIPATA WAPI maana mimi na muvi za kipelelezi damu damu
Hongera kwa msiba? sunbaehongera /pole kwa msiba wa Taifa.
nimesikia marehemu alikuwa na watoto watano kama nguzo za dini fulani
ahsante sana, sisi wengine bila ya kufa kwa binadamu hatupati fedha ya kuendeshea maisha yetu.Hongera kwa msiba? sunbae
aiseeahsante sana, sisi wengine bila ya kufa kwa binadamu hatupati fedha ya kuendeshea maisha yetu.
wachimba makaburi na wachongaji majeneza oyeee.
mashekhe na maaskofu ambao kazi zetu kubwa ni kusalia maiti oyeeee.
nyakati za ibada waumini wanatukimbia lakini nyakati za kusalia marehemu kijacho lazima waje kwenye nyumba ya ibada tuwarambe fungu la 300
hayo ndio maneno, hivi unakulaga ubwabwa? Najua unakulaga tu kimchi, ramen, noodles e.t cumeshatayarisha nguo nyeusi?
au msiba wa tajiri sisi malofa haturuhusiwi kula ubwabwa?
shida yangu kula tu wala sina habari na ubuyu wa marehemu
umeanza mambo yakoukipata nafasi ya kuishi na jamii ya wamasai ni vizuri ufuate taratibu za kimasai haijalishi ng'ombe unamuogopa.
kula siku moja ubwabwa na chupa 10 za pombe ya marehemu siwezi kuathirika bwanaaa.
naomba unitafutie vazi jeusi kama gream reaper tafadhali.
majasusi uchwara ndio suti zenu munazotumia kwenye mission possibleeee.
sijakutaja wewe kama jasusi jamani usije ukanikongoli muda huu
I am sorryumeanza mambo yako
I am sorry
naomba radhi kwa tabia yangu mbaya nilioinyesha kwako, nafahamu umeshanikataza zaidi ya mara tatu niachane na utani wa neno jasusi lakini nimeshindwa kufanya hivyo.Niombe radhi kwa lugha yetu
haki nimecheka ujue wewe sio mzimanaomba radhi kwa tabia yangu mbaya nilioinyesha kwako, nafahamu umeshanikataza zaidi ya mara tatu niachane na utani wa neno jasusi lakini nimeshindwa kufanya hivyo.
nafahamu kuomba kwangu radhi hakutabadilisha tendo lililokwisha pita hapo nyuma lakini kuomba kwangu radhi ndio njia moja muhimu itakayoniwezesha kutengeneza mahusiano bora hapo mbeleni.
kwa sasa ukurasa wetu wa mahusiano yetu kama marafiki umevamiwa na hackers kiasi ambacho taarifa zetu zinashindwa kupatikana mtandaoni. je unaweza kuniruhusu kubonyeza kitufe cha refresh ili niweze kurudisha tena mahusiano yetu ya kirafiki kati yetu?
mianhaeyo = 미안해요
Drama: Different Dreams
Release Date: May 4, 2019
Im Joo Hwan, Nam Gyu Ri, Lee Yo Won, And Yoo Ji Tae Talk About Controversy Of Portraying Real-Life Characters In “Different Dreams”“Different Dreams” ni spy action drama inayojaribu kuturudisha takribani miaka 100 iliopita wakati ambao korean peninsula ilikuwa chini ya himaya ya Japan. Inajaribu kuzungumzia harakati za wapigania uhuru dhidi ya japan wakiongozwa na Heroic Cops leader Kim Won Bong pamoja na mwanadada Lee Young Jin ambaye alilelewa na wazazi wa kijapani na alipokuwa mkubwa alikuwa ni daktari wa upasuaji aliyeamua kufanya kazi ya upelelezi dhidi ya wajapani.
mwaka 2019 korean wanaadhimisha kutimiza kwao miaka 100 tokea ianzishwe Korean Provisional Government mnamo mwaka 1919 ambayo ndio msingi wa korea ya sasa, Machi 1 pia ndio ilikuwa ni mwanzo wa kuanzishwa kwa harakati za kupigania uhuru
ni matumaini yangu hii drama haitoleta controversy kati ya serikali ya korea dhidi ya taifa la japani.
natabiri : hii drama inakwenda kuangaliwa zaidi nchini korea hapo kesho hususani na wananchi wenye umri wa miaka 40 kwenda juu.
View attachment 1086836
tumeletwa dunia kwa dhumuni la kutenda mema, kudumisha urafiki wetu wa kibinadamuthanks mkuu