Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

kuna hii KILL IT NITAIPATA WAPI maana mimi na muvi za kipelelezi damu damu

Donwload hiyo app mkuu, utaikuta na nyingine nyingi za kijanja...!!!!!
 
Hongera kwa msiba? sunbae
ahsante sana, sisi wengine bila ya kufa kwa binadamu hatupati fedha ya kuendeshea maisha yetu.
wachimba makaburi na wachongaji majeneza oyeee.
mashekhe na maaskofu ambao kazi zetu kubwa ni kusalia maiti oyeeee.
nyakati za ibada waumini wanatukimbia lakini nyakati za kusalia marehemu kijacho lazima waje kwenye nyumba ya ibada tuwarambe fungu la 300
 
aisee
 
ukipata nafasi ya kuishi na jamii ya wamasai ni vizuri ufuate taratibu za kimasai haijalishi ng'ombe unamuogopa.
kula siku moja ubwabwa na chupa 10 za pombe ya marehemu siwezi kuathirika bwanaaa.
naomba unitafutie vazi jeusi kama gream reaper tafadhali.
majasusi uchwara ndio suti zenu munazotumia kwenye mission possibleeee.
sijakutaja wewe kama jasusi jamani usije ukanikongoli muda huu
umeanza mambo yako
 
Niombe radhi kwa lugha yetu
naomba radhi kwa tabia yangu mbaya nilioinyesha kwako, nafahamu umeshanikataza zaidi ya mara tatu niachane na utani wa neno jasusi lakini nimeshindwa kufanya hivyo.

nafahamu kuomba kwangu radhi hakutabadilisha tendo lililokwisha pita hapo nyuma lakini kuomba kwangu radhi ndio njia moja muhimu itakayoniwezesha kutengeneza mahusiano bora hapo mbeleni.

kwa sasa ukurasa wetu wa mahusiano yetu kama marafiki umevamiwa na hackers kiasi ambacho taarifa zetu zinashindwa kupatikana mtandaoni. je unaweza kuniruhusu kubonyeza kitufe cha refresh ili niweze kurudisha tena mahusiano yetu ya kirafiki kati yetu?
mianhaeyo = 미안해요
 
haki nimecheka ujue wewe sio mzima
 
Daah! Unaambiwa kwenye kaburi la General Choi Young, Majani yaliota kwa mara ya kwanza 1972, since alipokufa mwaka 1388, hata hivyo yeye ndiye aliyetamka majani yasiote katika kaburi lake kama ishara ya uovu aliyoufanya, pamoja na hayo General Choi Young ni mtu anayeheshimika mpaka leo na anachukuliwa kama mfano bora mpaka sasa.
Jambo la kufurahisha hata drama ya Jeong Do-Jeon imeeleza kama ilivyo andikwa kwenye history.
 
Drama: Different Dreams
Release Date: May 4, 2019

Im Joo Hwan, Nam Gyu Ri, Lee Yo Won, And Yoo Ji Tae Talk About Controversy Of Portraying Real-Life Characters In “Different Dreams”
“Different Dreams” ni spy action drama inayojaribu kuturudisha takribani miaka 100 iliopita wakati ambao korean peninsula ilikuwa chini ya himaya ya Japan. Inajaribu kuzungumzia harakati za wapigania uhuru dhidi ya japan wakiongozwa na Heroic Cops leader Kim Won Bong pamoja na mwanadada Lee Young Jin ambaye alilelewa na wazazi wa kijapani na alipokuwa mkubwa alikuwa ni daktari wa upasuaji aliyeamua kufanya kazi ya upelelezi dhidi ya wajapani.

mwaka 2019 korean wanaadhimisha kutimiza kwao miaka 100 tokea ianzishwe Korean Provisional Government mnamo mwaka 1919 ambayo ndio msingi wa korea ya sasa, Machi 1 pia ndio ilikuwa ni mwanzo wa kuanzishwa kwa harakati za kupigania uhuru

ni matumaini yangu hii drama haitoleta controversy kati ya serikali ya korea dhidi ya taifa la japani.
natabiri : hii drama inakwenda kuangaliwa zaidi nchini korea hapo kesho hususani na wananchi wenye umri wa miaka 40 kwenda juu.
View attachment 1086836

Lee Yo Won wangu jamani nimemmiss, nangoja isogee sogee kidogo nianze kuicheki na mimi.
 
images.jpeg

😂😂 Bishoo toka 서울(Seoul), yeye bila muziki ngumi hazipandi.
더킥( The Kick) hii ni special kwa wapenda ngumi .
 
thanks mkuu
tumeletwa dunia kwa dhumuni la kutenda mema, kudumisha urafiki wetu wa kibinadamu
bila ya kusahau tumeletwa dunia kwa dhumuni la kusaidiana pindi mmoja wetu anapokuwa na shida haijalishi ni ndogo zaidi ya chembe ya mchanga.

karibu tena kijiweni kwetu moja kati ya sehemu isiyobagua jinsia ya mtu, kipato cha mtu, rangi ya mtu haijalishi ni kijani zaidi ya bendera ya chama tawala.
jisikie huru kutembelea hapa na pia ujisikie huru kuondoka hapa huku ukituachia furaha kwa njia ya comment.​
 
Back
Top Bottom