Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

hahahahaaaaaaaa kheri ya miaka 55 ya muungano wetu.
au tumeshavuka 55?
Hahaha miaka 55 ya Muungano. Taifa lenye watu 55 milioni linakusanya 1.2 trilioni kwa mwezi, nusa fedha hiyo inatumika kulipa mishahara ya watumishi wa umma. Halafu inayobaki ndiyo inayopelekwa kwenye huduma mbalimbali,je boti yetu inaweza kulikwepa wimbi la madeni?! Anyway Joseon itajengwa ama kubomolewa na wajozoni wenyewe, Endapo Taifa lao litashindwa kuwawezesha Watu wake wajikite na kujifunza mambo mbalimbali ya sayansi na teknolojia pia kupata Elimu ya kutumia raslimali zao ni vigumu kusonga kwani hatutokuwa na huduma bora mbalimbali, Wasije wakainyooshea mkono wa lawama Quing/Ming kwa kupinga juhudi zao, kwani boti iliyoshikamana vizuri inaweza kupasua katikati ya wimbi Kubwa.
 
Hahaha Napenda hii vita ya Siasa hasa pale Lee in-im Vs Sambong.
Sambong anamwambia Lee in-im nitakufanya ufe taratibu tena kwa maumivu makali, kwa yale uliyowafanyia watu.
Kisha Lee inim na yeye anamjibu Sambong hivyo hivyo.
 
04C0F64A-C6F5-441E-9102-F19FB7383C6D.jpeg


MyBaby Amerejeaa
 
Hello babe
Hiyo kitu ni must watch Unnie, mimi tokea nimeimaliza mpaka sasa nimeharibikiwa drama nyingine siziwezi.
Nimejaribu Misty nimeishia episode 1, Mr. Sunshine ambayo watu wengi waliikubali sana naingalia nipo episode 3 ila nashindwaaaa

Anza kuiangalia sasa hivi love, nasubiri feedback.
Thanks darling, lakini ujue kumtamanisha unnie hivyo siyo poa maana mpaka niipate sasa au nije kuichukua nini kama unayo kny external, sijaangalia hawa watu kitambo sana ngoja nianze rasmi.
 
Basi nimetamanije tungekuwa tunaangalia wote? Sasa hivi naangalia mwenyewe tu mdogo wangu yuko skuli wengine home hawako interested.
Raha sana kuangalia hizi mambo zetu na kampani.
Dah how i wish, mimi pia huwa naangalia mwenyewe raha ya series uwe na kampani ila tupambane hivyo2 tuje tupeane reviews kama hivi.
 
Back
Top Bottom