Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Fated to Love you Nzuri Eeehh??
Sine O Go Crazy Nayo Nzuri??
Now Natamni Sana Kuangalia Drama Nzuri.
Ukiacha Na Hwayugi,Not Robot na Knight Sina Drama Nyengine Naangalia.
Sa Kama Izo Nzuri Naweza Angalia!
Hizo zote kacheza Jang Hyuk.

Female lead wa 'Hwayugi' ndiyo amecheza naye kwenye "Shine or Go Crazy".
Kwenye "Fated to Love You' yupo pamoja na Jang Na-Ra aliyeigiza "Go Back Couple".

Ukiachana na hizo kuna pia '3 days' & 'Dong Yi'. Ni full motoo!!
 
Hizo zote kacheza Jang Hyuk.

Female lead wa 'Hwayugi' ndiyo amecheza naye kwenye "Shine or Go Crazy".
Kwenye "Fated to Love You' yupo pamoja na Jang Na-Ra aliyeigiza "Go Back Couple".

Ukiachana na hizo kuna pia '3 days' & 'Dong Yi'. Ni full motoo!!
Dong Yi Naitafuta Sema Site Nazotumia Si Rafiki Tangu DRAMAFIRE Iunguee Imekuwa Tatizo.

Kama Unayo Naiomba.
 
Cover-5_img_750_h.jpg


Cover-3_img_750_h.jpg

Ma Girl.
Pole Yake Kufiwa Kugumu.
 
Damushin Sunbae acha vituko ndugu mi sina ujanja wowote ule wala usiniogope, mm bado ni mwanafunzi kwenu. EMPTY, aminas, UHURU JR, Prishaz pamoja na ww Damushin Sunbae nyinyi nyote kwa pamoja ni walimu wangu wala Mm siwazidi chochote kabisa. Na ninafurahi sana kuwa na walimu kama nyinyi kwa pamoja.

Hahaa Damushin Sunbae huyo kiumbe wa kuitwa Admiral Yi Soon Shin alikuwa balaa sio mchezo, maamuzi anayo chukua yanadhihirisha kweli ni General aliye stahili cheo hicho kabisa. Wale wazee wanao mchongea kwa Mfalme Seonjo ili tu aonekane mbaya kwakweli kuna kipindi natizama wanacho kifanya natamani ata niwarukie Hahaa. Inaonyesha kabisa tawala za kifalme hapo zamani hawa maGeneral walikuwa wanaogopeka sana kutokana na ile nguvu walio kuwa nayo ndicho kitu kilicho kuwa kinamuogopesha Mfalme Seonjo. Alihofia kutokana na ile nguvu aliyonayo Admiral Yi Soon Shin pamoja na watu wanavyo mpenda alihofia huenda akapinduliwa. Kumbe ata wazo hilo Yi Soon Shin hakuwa nalo kabisa yy lengo lake ilikuwa kuwafukuzia mbali Japanese.

Shauku niliyo nayo ni kujua ni vipi huyu Yi Soon Shin alijiunga na Jeshi la Majini mpaka kuwa Kiongozi wao. Maana mkuu pale historia yake inaanza kuonyeshwa toka utotoni anaonekana yupo yupo tu sasa nataka nijue ilikuwaje mpaka akapata hicho cheo kikubwa namna hiyo. Hahahaa ndio maana nikianza kutizama Drama sitaki niishie katikati huwa najitahidi nimalize kabisa. Ww ukifika hapo pumzika nitakuwa nakujuza Kinacho kuwa kinaendelea.
 
Hahaaa uje kabisa mzima mzima.
Nimeanza kuangalia ep ya 1 ya 'Immortal Lee Sun Shin' nikakutana na mtu wangu wa nguvu 'Sambong', (sijui jina lake).
Hapa nilipo meno yote yapo nje kwa furaha.

Hahhahhaaa! Yaani hii drama unaweza kuangalia bila ya subtitle na ukaielewa yote nzima. LOL!
Ngoja tuone huko mbele itakuwaje!
 
Nimeanza kuangalia ep ya 1 ya 'Immortal Lee Sun Shin' nikakutana na mtu wangu wa nguvu 'Sambong', (sijui jina lake).
Hapa nilipo meno yote yapo nje kwa furaha.

Hahhahhaaa! Yaani hii drama unaweza kuangalia bila ya subtitle na ukaielewa yote nzima. LOL!
Ngoja tuone huko mbele itakuwaje!
Jina lake halisi ni Kim Myoung Min. Hahahaa huyo mzee kwenye Six Flying Dragons nilifurahi sana na zile plan zake za kuandaa taifa jipya.

Mkuu humo ndani ya The Immortal Yi Soon Shin kacheza kwa umaridadi mkubwa mno, karibu kilingeni saizi tumefika watatu Hahaa.
 
We unaonaje? Mimi ninavyoona ni kuwa recent dramas nyingi hazina mzuka kama zile za miaka ya nyuma.
True,True Kabisaa Ata Maisha Ya Sa Ivi Ni Tofauti Na Ya Zamani Kwaiyo Aziwezi Kuwa Kama Izo Za Zamani.
kwanza Sa Ivi Stori Zimekuwa Nyingi Zaidi, Zamni Walikuwa Wanabase Na Historical Labda Ni Kuitangaza Zaidi Nchi Yao Kupitia Sanaa Na Walikuwa Wakiigiza Kama Vile Wao Ndo Walikuwa Wakiishi Vipindi Ivyo Iyo Yote Kukufanya We Mtazamaji Ujue Jinsi Walivyokuwaa Wakiisha Ao Wa Kale.
Kipindi Hiki Wanaigiiza Kupitia Stori Za Kutunga Utungaji Si Kila Mtu Ataufurahia Na Si Kila Mtu Ataupenda Ndomana Unaona Kama Zinakosa Radha Ata Kma ACTOR AU ACTRESS Ataigiza Vizuri Vipi We Mtazamaji Kama Ukuipenda Ile Stori Wala Utaifurahia Iyo Drama.
 
Back
Top Bottom