Mitomingi21
Member
- Aug 11, 2016
- 38
- 41
Mkuu mi mwenyewe nilibaki nimeduwaa,Mpaka leo sielewi waliiruhusu vipi harafu ipo tu unaipata kiurahisi kabisaa,lakini nasikia yule dada kalipwa pesa nyingi sana kucheza zile sehemu.Frozen Flower,
Yani mpaka leo sijaelewa ilikuaje Wakorea wakaigiza hiyo series na ikakubaliwa,
Wakati kuna series waliicancel na ilikua ya wanawake.