Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Discussion in 'Entertainment' started by Kazz0, Mar 22, 2015.

 1. Kazz0

  Kazz0 Member

  #1
  Mar 22, 2015
  Joined: Mar 15, 2015
  Messages: 48
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 15
  Kama wewe ni mpenzi wa Korean Dramas, karibu katika thread hii tupate ku share kuhusu kazi hizo hatari za mkorea.

  Tuambiane;

  - Ipi ni drama yako bora ya kila wakati kwako?

  - Ni ya aina gani? (Wengi tumezoea kusema za 'mjini' na 'vijijini')

  -Nini kinakuvutia sana katika hiyo Drama?

  Pia:

  - Nani ni Msanii wako Bora wa kiume na wa kike na baadhi ya drama alizoigiza?

  - Nani ni sexiest Actor au Actress kwa maoni yako?

  - Ipi ilikua Drama yako ya kwanza ya kikorea kuiona?

  - Ni Drama gani ya kikorea unaitafuta sana na unapata wakati mgumu kuipata? (Unaweza ukasaidiwa kuipata na mashabiki wengine)

  *Pia tumia thread hii kufahamishana kuhusu drama mpya zilizotoka au unayohisi ni nzuri ila haijapata umaarufu sana!!

  Karibu tujumuike! Saraghae! Kumooyo!!

  =========

  Baadhi ya Links za Dramas mbali mbali za Korea...;

  Be Strong Geum Soon

  Princess Ja Myung Go

  THREE DAYS (2014)

  Swallow the Sun

  Jumong

  King Guenchoggo

  =====

  Links za ku-download drama za Kikorea;

  - Watch Drama Online | Korean Drama | Japanese Drama | Taiwanese Drama | Hong Kong Drama | Chinese Drama
  - GoodDrama.Net


  ======

  Updated: Kwa mjadala na kubadilishana uzoefu kuhusu series za jumla za movies mbalimbali, za zamani na mpya, Unaweza pia kufuatilia UZI HUU hapa Series (Special thread)
  ..

  Kazi kwako.. Enjoy!
   
 2. Honey Faith

  Honey Faith JF-Expert Member

  #1241
  Jan 6, 2017
  Joined: Aug 21, 2013
  Messages: 15,159
  Likes Received: 3,991
  Trophy Points: 280
  Hivi ndio kusema ulininyima series eeeeh???
   
 3. Nifah

  Nifah JF-Expert Member

  #1242
  Jan 6, 2017
  Joined: Feb 12, 2014
  Messages: 22,560
  Likes Received: 15,234
  Trophy Points: 280
  Uwiiiiiiii uwiiii jamani mambo ni mengi sana HF,nisamehe pls.
  Ila kwakuwa nilikupa ahadi basi nitatimiza ktk siku isiyo na jina.
   
 4. tembajr

  tembajr Senior Member

  #1243
  Jan 6, 2017
  Joined: May 27, 2016
  Messages: 105
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  wakorea wako vizuri sana aisee nimeangalia nyingi sana mlizozitaja hapo mpaka sasa nacheki moja inaitwa "Spy" wakorea watam sana
   
 5. Freelancer Wakala

  Freelancer Wakala JF-Expert Member

  #1244
  Jan 6, 2017
  Joined: Feb 6, 2016
  Messages: 661
  Likes Received: 394
  Trophy Points: 80
  Wakorea ndo basi tena Dunia hii hawana wenzao kwa drama kali.
  Watch na The Fugitive Plan B hii nayo noma sana.
   
 6. Nifah

  Nifah JF-Expert Member

  #1245
  Jan 6, 2017
  Joined: Feb 12, 2014
  Messages: 22,560
  Likes Received: 15,234
  Trophy Points: 280
  Achaaaaaa hakunaga tena kama Wakorea mkuu.
  Mimi tokea 2011 sijawahi kuangalia movie za mataifa mengine tofauti nao.
  Tena nilikuja kuacha juzikati hapo ila sasa nimerudi chamani,sio mchezo.

  Wasioangalia hizi movies/series & drama zao wamechelewa kuijua Dunia.
   
 7. Mpagani

  Mpagani Member

  #1246
  Jan 6, 2017
  Joined: Oct 8, 2016
  Messages: 44
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 15
  Wakorea si watu wa mchezo mchezo mm mwenyewe nawaaminia jumong ni sheedaahh....
   
 8. Edwin AN

  Edwin AN Member

  #1247
  Jan 6, 2017
  Joined: Sep 18, 2016
  Messages: 77
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 25
  Nzuri sana mkuu
   
 9. hiwalisi

  hiwalisi Member

  #1248
  Jan 6, 2017
  Joined: Jul 3, 2013
  Messages: 23
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 5
  Ongeza na hizi, jingbirok na emperor wang gun. Emperor wang gun ni mzuri sana kwa kuwa imeelezea matukio mengi sana makubwa makubwa kama kupanda kwa matreya buddah, kuanguka kwa shilla, leter three kingdoms. Kutokea kwa magin na taibong empire, fall of balhae kingdom. Raise of wang gun into power, restall the koryeo empire and unification of leter three kingdom (shilla, hubaekje, hugoguryeo) zote zikawa great koryeo
   
 10. Nifah

  Nifah JF-Expert Member

  #1249
  Jan 6, 2017
  Joined: Feb 12, 2014
  Messages: 22,560
  Likes Received: 15,234
  Trophy Points: 280
  Nitaiweka ktk list yangu ya mwaka huu.
  Ila kwa matukio hayo inaonekana nitaiangalia mwezi mzima!
   
 11. thesym

  thesym JF-Expert Member

  #1250
  Jan 6, 2017
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 1,829
  Likes Received: 1,477
  Trophy Points: 280
  Hizi ndo movie zangu nimejikuta naijua historian ya Korea kwa kuangalia dramas.
   
 12. EMPTY

  EMPTY JF-Expert Member

  #1251
  Jan 6, 2017
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 278
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
 13. Samandarojk

  Samandarojk Member

  #1252
  Jan 6, 2017
  Joined: Sep 25, 2016
  Messages: 18
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 5
  Korean movie nazikubali sana, bahat mbaya sijawahi kuangalia episodes zote za movie nilizoangalia.
  1.jumong
  2.three days
  3.arrows on the bowstring.
   
 14. pedama

  pedama Senior Member

  #1253
  Jan 6, 2017
  Joined: May 11, 2015
  Messages: 109
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Ngoja niweke kiti changu nikae vizuri. Hapa Si pa kukosa
   
 15. Nifah

  Nifah JF-Expert Member

  #1254
  Jan 6, 2017
  Joined: Feb 12, 2014
  Messages: 22,560
  Likes Received: 15,234
  Trophy Points: 280
 16. Freelancer Wakala

  Freelancer Wakala JF-Expert Member

  #1255
  Jan 7, 2017
  Joined: Feb 6, 2016
  Messages: 661
  Likes Received: 394
  Trophy Points: 80
 17. Freelancer Wakala

  Freelancer Wakala JF-Expert Member

  #1256
  Jan 7, 2017
  Joined: Feb 6, 2016
  Messages: 661
  Likes Received: 394
  Trophy Points: 80
  Maskini Mkulima usiwe maskini wa serious za kikorea JK Leo ndo hili taja drama yoyote uipendayo na wadau WETU watakusaidia kupata serious Kali mbalimbali Duniani.
   
 18. s

  successor JF-Expert Member

  #1257
  Jan 7, 2017
  Joined: Oct 25, 2012
  Messages: 780
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 60

  Mkuu Freelancer, naipataje descendant of the sun? Msaada tafadhali.
   
 19. e

  edson Dominic Jr Member

  #1258
  Jan 8, 2017
  Joined: Nov 9, 2016
  Messages: 48
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 25
  Naulizia website za kupata series zao wakuu
   
 20. Erick tryphone

  Erick tryphone JF-Expert Member

  #1259
  Jan 8, 2017
  Joined: May 8, 2013
  Messages: 372
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Www.dramacool.com
   
 21. Shaffin Simbamwene

  Shaffin Simbamwene Verified User

  #1260
  Jan 8, 2017
  Joined: Nov 16, 2008
  Messages: 1,053
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
Loading...