Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kama una hasira za haraka usiivute Extraordinary you utavunja PC yako bure kwa upotevu wa MB zako
teh teh
kweli binadamu tunatofautiana sana kifikra na matendo, hiyo drama nchini korea imekuwa na wastani wa kuangaliwa kwa asilimia 4, lakini nje ya korea hiyo drama inapendwa sanaaaaaa.

hata ukitembelea soompi forum utagundua thread yake pamoja na the tale of nokdu drama ndio zinachangiwa zaidi kuliko drama nyengine yeyote zinazoendelea kwa sasa.
1574312817045.png


leo inamaliza

if you die on the stage you disappear completely in the comic book, but if you die in the shadow only your self-awareness disappears
 
melting me softly drama ndio project mbovu niliyoiangalia mwaka huu. Kwa nini hizi drama zenye maudhui ya sci -fi zinakuwa na matokeo mabovu sana nchini korea?
  1. im not a robot drama
  2. are you human drama
  3. abyss drama
  4. my absolute boyfriend drama
  5. melting me softly drama
 
Shin Hye Sun And Jun Hyun Moo To Host 2019 KBS Drama Awards
On November 19, a source from KBS revealed, “Jun Hyun Moo and Shin Hye Sun will be the MCs for the 2019 KBS Drama Awards.”

This will be Jun Hyun Moo’s fifth year of hosting the awards show. Furthermore, Jun Hyun Moo was also been recently confirmed to host the 2019 KBS Entertainment Awards along with Son Dam Bi, Jang Dong Yoon, and Kim Joon Hyun. Jun Hyun Moo, Son Dam Bi, Jang Dong Yoon will host the first half of the ceremony, and Kim Joon Hyun will replace Jun Hyun Moo for the second half.

Meanwhile, Shin Hye Sun received much love this year for her role as Lee Yeon Seo in KBS 2TV’s “Angel’s Last Mission: Love,” which concluded earlier in July.
The 2019 KBS Drama Awards will take place on December 31.

=========================================
ngoja niwe mtabiri uchwara kwa mujibu wa hizi drama nilizoziangalia mwaka huu

watakaogombea grand prize (daesang awards)
  1. Gong Hyo jin = when the camellia blooms drama
  2. namgoog min = doctor prisoner drama
  3. shin hye sun = angels last mission drama.
  4. muigizaji mwengine atatoka kupitia weekend drama a.k.a family drama na huenda ikawa mother of mine drama
washindi watakuwa tena wawili na mmoja wapo wapo atakuwa ni mwanadada gong hyo jin.
kama itatokezea weekend drama zikashindwa kutoa mshindi basi kuna uwezekano namgoog min akawa ni mshindi wa pili.

top exellence awards kwa upande wa wanaume
  1. namgoong min = doctor prisoner
  2. kang ha neul = when the camellia blooms
  3. kim byung chul = doctor prisoner
  4. jang dong yoon = the tale of nokdu drama
top exellence awards kwa upande wa wanawake
  1. shin hye sun = angels last mission drama
  2. kim so hyun = the tale of nokdu drama
  3. muigizaji yeyote kutoka mother of mine drama.
  4. kwon nara - doctor prisoner
best couple awards
  1. when the camellia blooms drama
  2. angels last mission drama
  3. the tale of nokdu drama
and the winner is gong hyo jin a.k.a dongbaekkk from camelliaaaaaaaaa.............................................
mara hii sipoooooooooo
1574315729375.png
 
2019 SBS Drama Awards Announces Date + Jang Nara And Shin Dong Yup To Host
On November 20, SBS announced that Shin Dong Yup and Jang Nara will be hosting this year’s ceremony.

This is the third consecutive year that Shin Dong Yup will be an MC for the SBS Drama Awards. Jang Nara won a Top Excellence Award at the 2018 SBS Drama Awards for her role in “The Last Empress,” and she is currently starring in the SBS drama “VIP.”

The ceremony’s producing director Min Eui Shik commented, “Their hosting that is high quality and appealing will make this year’s Drama Awards fun, so it is worth looking forward to.”

The 2019 SBS Drama Awards will be held at 9 p.m. KST on December 31 at SBS Prism Tower in Seoul.
==========================
utabiri uchwara kutoka kwa mnywa urojo, huku competitions ya grand prize itakuwa ni kubwa sana hususani upande wa wanaume.

grand prize awards
  1. kim nam gil = the fiery priest drama
  2. ji sung = doctor john drama
  3. lee seung gi = vagabond drama
top exellence kwa upande wa wanawake
  1. park jin hee = doctor detective drama
  2. bae suzy = vagabond drama
  3. jang nara = VIP drama
  4. honey lee = the fiery priest
  5. kim sun A (mshindi wa mwaka jana wa grand prize) = secret boutique drama
top exellence kwa upande wa wanaume

  1. ji sung = doctor john
  2. lee seung gi = vagabond
  3. jo jung seok =nodku flower
  4. jung il woo = haechi drama

the daesang award winneeeerrrrr is .......................mchungaji kichaaaaaaaaa

1574317317670.png
 
Hahaha Upo sawa, Lakini unaposwa ni kutimiza wajibu wako tu!, If that is your duty do it nigga.
Ingawa natambua Ushirikiano husaidia kukamilisha makubwa.
Mkuu mbona miye niki- upload madude yanafeli?
  • binadamu tumejaaliwa udhaifu ndani yake unaoitwa wivu ambao huzaa chukizo.
  • wivu unapatikana pande zote mbili za wema na ubaya
  • pengine ni network inasumbua huko uliko.
  • unatumia device gani?
 
Back
Top Bottom