Omo omo omo...
Ndio nimeimaliza What’s wrong with Secretary Kim. Ni drama nzuri sana,sana.
Hapa ndio naona faida ya ule msimamo wangu wa kutokuangalia ongoing drama maana kwa jinsi nilivyoipenda ningepata wazimu wa kusubiri.
Ep 10 ndio the best kwangu, nilicheka zaidi ya mwendawazimu! Nimempenda sana Ms. Bong Se Ra na yule Mr. Hero wake hahaaaaa
Yule bonge nae ana vituko jamani!
Sasa ndio naianza Hwarang...
Umechelewa kuiangalia. Park Min-young yuko vizuri.
Una weekend nzuri mno,hwarang ipo vizuri
Mie alkua ananiuz yule ryan gold yuko slooooooow yan anaonesha ana act kabisa.Pia her private life kaigiza vizuri ila inachukua muda kuielewa na kuipenda
Mimi nilifuatilia film ya kikorea inaitwa Are you human, niliipenda sana ngoja nitajitahidi kutafuta za hao wakorea, pia kuna moja inaitwa Korean Odyssey sijawahi kuielewa mwenye kuielewa anijulishe, maana nikiangalia mwanzo nikapata uvivu
Mie alkua ananiuz yule ryan gold yuko slooooooow yan anaonesha ana act kabisa.
Kuna rafiki yangu aliniambia wakorea wana film nzuri sana zenye kutumia akili, nilianza na hiyo moja hapo juu ilikua nzuri sana, hiyo ni baada ya kuona zile za the great queen of seondiek
Zipo nzuri,ukizipata full burudani. Hebu hizi descendants of the sun,illjmae,gu family book,kings face,hwarang,city hunter,encounter ,the heirs,high school love, am not a robot duh zipo nying mno nzuri nzuri.
Zinapatikana kwenye hivi vibanda mitaani ngoja nitazitafuta, am not a robot na Are you human haziko sawa kimaudhui?
Nlikua natamanj niingie kwenye tv nimtingushe achangamke. Kila time mkono mfukon.Duh mie nilikua napenda mikongo yake,na ka sura ka kitoto ka yule staa wao wa music
Achana na vibanda mtaani mkuu vuta kupitia dramanice au idownload application ya dramania kupitia google ujipatie movies zako safi kabisa ambazo hazijatafsiriwa.
Zipo tofauti kimaudhui ila zote zinahusu robot. Am not a robot ni mdada wakati are u human ni mkaka
Hi Daemusin Bogoshipo Chingu.
Korean Odyssey a.k.a hwayugiMimi nilifuatilia film ya kikorea inaitwa Are you human, niliipenda sana ngoja nitajitahidi kutafuta za hao wakorea, pia kuna moja inaitwa Korean Odyssey sijawahi kuielewa mwenye kuielewa anijulishe, maana nikiangalia mwanzo nikapata uvivu
teh teh teh anatafuta mchekeshaji ndani ya emperor wang guhn?Baba humo ndani, hakuna mchekeshaji ni mwendo wa kauzu tu!.
Korean Odyssey a.k.a hwayugi
dah umenikumbusha vichwa vibovu
president ng'ombe
zombie booja
crown princess pweza
crown prince monkey (kima)
secretary mbwa
P.K nguruwe
Ahsante Chinguya..hata mimi nimekumisi kama jangwa linavyokosa mvua
Nilianza Kuangalia Nikaisha Dakika Ya Kumi Episode 1 Baada Ya Lile Jengo Kulipuka Nauyo Pichan Akawa Anakimbia Nikabdadili Channel Apo Apo..makambako: based on article 26, Paragraph 1 of the government organization Act, you have been entrusted with all the authority and duties of the president of the republic of Kolomijeee.
daemusin bin koroshow: unasemaje wewe bwege?
makambako and nepi ya mtoto: from now on, wewe bwege uliyezoea kufundisha darasani pamoja na kuendesha matrekta ya ujenzi wa visima vya barabarani utakuwa ni raisi wa mpito wa nchi ya kolomijee kwa takribani siku 60 na kuanzia muda huu ndio rasmi utawala ndio una anza,
Acting president daemusin bin goodwill bin plastic bin makinikiyya bin vipigo kwa mashangazi zenu bin dela chatto mbugani.
kwenye siasa hutakiwa kuwa mkweli uliyevuka mipaka kama manabii wa ukweli, hutakiwi kuwa na uoga wa kuchafua mikono yako haijalishi kwa takataka za damu za wasiokuwa na hatia.
ili udumu kwenye ulimwengu wa siasa kwa muda mrefu unapaswa uwe ni integrity.
usione aibu kuwasambaratisha waliokupa tonge ili wapate kupunguza hashuo la kiume ......................
usione aibu kuwaweka karibu maadui zako kutoka upinzani ili uwalishe wapate kukulinda milele ..................................
go go go mr president daemusin, endelea kuwabatiza kwa moto wa sulphuric acid mpaka wafanye reaction ya kutengeneza mafuta ya korosho.
maisha ya ikulu rahaaaaaaa hutafunwi na mbu pamoja na kaka kunguni
designated survivor 60 days drama : remake ya series ya kimarekani
ni mimi pekee ndiye mwenye kiherehere cha kuifuatilia hii best drama kwa kila jumatatu na jumanne?
View attachment 1160518
oh my god umejikosesha uhondo wa bure my friend.Nilianza Kuangalia Nikaisha Dakika Ya Kumi Episode 1 Baada Ya Lile Jengo Kulipuka Nauyo Pichan Akawa Anakimbia Nikabdadili Channel Apo Apo..
Original Article:Hello. This is UAA.
Actress Song Hye Kyo’s divorce was finalized today (July 22) at the Seoul Family Court. We inform you that the arbitration procedure was completed with both sides agreeing on a divorce without alimony or division of property.