Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

“The Fiery Priest” In Talks For A Second Season

Hulalalaaaaaaaaaaaaaa
Nimerukaruka kwa furaha, ilipoisha nilihuzunika sana.
Siwezi kuamini nitaendelea kumuangalia Bidam Bae
IMG_0248.JPG
 
nimejikuta natamani kuangalia tena drama zinazozungumzia three kingdom.
mbona zipo nyengine hadithi zake zinavutia mfano scarlet heart ryeo, my love from the star, dr jin drama

Hizi zote nimeziona...

Ila kwani My love from the star ni fiction au ni story ya kweli?
Drama nyingine kali ya aina kama hizo ni The moon that embraces the sun, niliipenda sana.

BTW hii drama mpya aliyomo Kim Soo Hyun Kill It unaionaje?
Nataka niianze hivi karibuni.
Baada ya The Fiery Priest kuisha tokea jana naomboleza ndio nataka nijipoze na hiyo.
 
Hizi zote nimeziona...

Ila kwani My love from the star ni fiction au ni story ya kweli?
Drama nyingine kali ya aina kama hizo ni The moon that embraces the sun, niliipenda sana.

BTW hii drama mpya aliyomo Kim Soo Hyun Kill It unaionaje?
Nataka niianze hivi karibuni.
Baada ya The Fiery Priest kuisha tokea jana naomboleza ndio nataka nijipoze na hiyo.
niliangalia mpaka episode 4.
lead actor anaitwa chan ki yong ila ametumia uhusika wa kim soo hyun
marks = 5.5 /10
 
Huu mpambano ulikuwa mkali kweli kweli kati ya Sambong na Vice Chancellor Lee inim.
Hapo Lee in-im kakamitika kwa Sambong. Hahaha.
  1. "If you capture the hearts of the people, the people obey you. But if you fail to win their hearts, they will indeed betray you".
  2. "We Can't Crack a Rock with an Egg,
  3. Yet It Is the Wind that Breaks Trees and the Waves that Carve Rocks."
  4. If you want to change the world, gain power first. If it could change because of you, this wouldn't be a turbulent age.”
  5. “Someone who thinks he can get a piece of a dumpling won't try to steal the plate.
 
Ukiitazama King's Dream (Dream Empire) na Queen SeonDeok zinaelezea kisa kimoja lakini zina mkanganyiko, sasa sijui kama ni wanahistoria walitofautiana katika utunzaji wa kumbukumbu zao au ni waandaaji walitaka kuonyesha utofauti!!.
All in all Bidam kachorwa kama kama mtu aliye na tamaa ya madaraka kwenye Drama zote 2.
kwa mtazamo wangu the kings dream drama ipo reality zaidi ukilinganisha na queen seondeok.
"The female king failed to rule the country, therefore women should stop ruling"
bidam
alifikia hatua ya kupewa nyadhifa kubwa sana na malikia seondeok nyakati za mwisho za uhai wake lakini jamaa akataka kumpindua malikia seondeok.
kampeni yake ya kumpindua queen seondeok ilidumu kwa takribani siku kumi ndipo jamaa akafia mikononi mwa kim yusin
  • nadharia 1: inasemekana queen seondeok alifariki siku chache kabla ya bidam na waasi wenzake hawajadhibitiwa
  • nadharia 2: inasemekana queen seondeok alifariki siku mbili baada ya uasi kuanza.
  • Queen Jindeok ndiye aliyetoa hukumu ya kunyongwa kwa bidam na wenzake 30 pamoja na vizazi vyao
 
Back
Top Bottom