Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Screenshot_2019-04-24-22-25-07.png


Vita ya Baba na Mwana, General Lee Seong gye Vs Grand General Choi Young.
Hii Drama ya Sambong japo vita hazijachorwa sana lakini zipo Quality, nadhani hili linachagizwa na Characters wa humo ndani wamecheza Historical drama nyingi za Kivita.
 
waache wampongeze ni wakati wake. Min Ho sijamuacha nashangaa unaleta habari yake hata hujantag sunbae hii tabia umeanza lini?
ubongo wangu umekuwa hauna tofauti na ubongo wa kuku, ukimkataza sekunde moja asile mtama anarudi tena pale pale.
wachumba zako wengine nimeshaanza kuwasahau, na wewe una vijana dume uchwara vingi kuliko degree za mugabe
 
Acha kuniharibia CV sunbae, wachumba niao wengi wako wapi?
kwenye TV unamiliki watatu
mtaani unamiliki watatu
JF unamiliki watatu
ofisini unamiliki watatu
sokoni unamiliki watatu
ibadani unamiliki watatu
unapoenda kuchota maji unamiliki watatu

takwimu hizi ni kwa mujibu wa aminas
sihusiki na takwimu hizi za IMF

na log out muda huu
replay yako nitakuja kuisoma baadae, nahofia itakusanya upepo wa kimbunga muda huu.
 
Lee Min Ho Shares His Gratitude After Discharge From Military Service
On April 25, Lee Min Ho finished his mandatory military service with his last day as a public service worker at the Suseo Social Welfare Center. When he went to work in the morning, many fans were waiting for him there with signs and balloons to welcome him on his final day. Later on, Lee Min Ho was discharged from the military quietly without any special events.

On the evening that day, Lee Min Ho took to Instagram with a photo of many bouquets of flowers, along with his dog. The flowers appear to be from fans, with messages on cards that say they have waited for him and congratulate him on his discharge.

He wrote in the caption, “Thank you.”​

View attachment 1080923
Mi Namsubiri Chang Wook Wangu Tuh Kwa Hamu Hasa!

Shalobalo Karudi Mjini Wadada Sasa Apo!
 
kwenye TV unamiliki watatu
mtaani unamiliki watatu
JF unamiliki watatu
ofisini unamiliki watatu
sokoni unamiliki watatu
ibadani unamiliki watatu
unapoenda kuchota maji unamiliki watatu

takwimu hizi ni kwa mujibu wa aminas
sihusiki na takwimu hizi za IMF

na log out muda huu
replay yako nitakuja kuisoma baadae, nahofia itakusanya upepo wa kimbunga muda huu.
Mi Simoo...Sijasema Unataka Niuzia Kesi Eeeh!?
Ila Ukweli Anao Wengi Mi Siku Hizi Nimeacha Tu Kumuhesabia Na Kugombania!
 
49 Reactions
Reply
Back
Top Bottom