Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

What about Daemushin au Muhyul (Grandson wa Jumong) ambaye yuko portrayed vizuri kwenye THE LAND OF THE WINDS and JA MYUNG GO

Sent from The Black Forest
Daemushin alikuwa mfalme asiyekuwa na Busara na alikuwa na mawazo hasi juu ya wanawake, lkn bado watu walitumikishwa kama tulivyoona( mtu anakua ngazi) kwa kweli mfalme Cho-Li alikuwa na Busara sana. Ila kwa Jeoson Lazima tukubali Sejong was Great ruler, JeongJo pia alikuwa bora alijaribu kuondoa masuala ya matabaka katika Jamii.
 
Wakuu habar zenu naomba mnisaidie jambo kuna series ya kikorea nimekua nikiitafuta bila mafanikio inaitwa THE KILLER STAR
Kila nikiitafuta mtandaoni kwenye site nimekua nikiambulia patupu kwa anayefaha!unau mwenye link tafadhari naomba anipe nikaipakue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Best chicken kama una njaa,hujala kuku karne kama zotee usiangalie. Pia story sio tamu kivile
ukiyapitia maeneno ya kujidai ya professor lipumba kuna kanuni fulani inaitwa utility (the total satisfaction received from consuming a good or service) .

hii theory nimekuwa nikiitumia hadi kwenye ulimwengu wa korean drama, nakumbuka hii drama ya the best chicken niliihifadhi
episode 4 za mwanzo kipindi kile ndio kwanza inaanza kuonyeshwa.
niliangalia takribani dakika 10 za mwanzo bahati mbaya haikunifanya niwe na uchu, hamu (satisfaction) kuiendeleza hivyo basi niliamua kuzifuta episode zote 4.

haijalishi dunia nzima waisifie drama fulani kuwa ni bora kama kiupande wangu hainipi mzuka wa kuifuatilia basi ni sawa sawa na ushindi wa Tanzania endapo lesotho atakapopata ushindi.

mfano mwengine kuna drama inaitwa let me introduce her ambayo kuna binti fulani aliniomba nimtafutie, hii ni wiki ya tatu nimeihifadhi kwenye PC lakini mzuka wa kuiangalia sina, naisubiria siku tutakayokutana tena maeneo ya uchawini nimkabidhi mzigo wake then niuhamishe kwenye macho yangu.
 
Kuna hii Romance is a bonus book hapa mwanzoni sijaipenda na hata mzuka wa kuendelea nayo sina kabisa nalaumu kupoteza MB zangu

Hio ya let me introduce her huwa naipita na sijui kwanini haijanishawishi kuvuta hata episode moja.

Hivi ID Damushin uliitoa kwa yule mfalme ndani ya Princess Ja myung Go au? Yule jamaa simfagilii kabisa ila malkia wake mbishi jamani khaa kwa kifupi kichwa ngumu ila nilimfagilia kwa jitihada zake pamoja na misukosuko yoote bado akafanikiwa kupata akitakacho. Hodong wa utoton wazuri sana.
ukiyapitia maeneno ya kujidai ya professor lipumba kuna kanuni fulani inaitwa utility (the total satisfaction received from consuming a good or service) .

hii theory nimekuwa nikiitumia hadi kwenye ulimwengu wa korean drama, nakumbuka hii drama ya the best chicken niliihifadhi
episode 4 za mwanzo kipindi kile ndio kwanza inaanza kuonyeshwa.
niliangalia takribani dakika 10 za mwanzo bahati mbaya haikunifanya niwe na uchu, hamu (satisfaction) kuiendeleza hivyo basi niliamua kuzifuta episode zote 4.

haijalishi dunia nzima waisifie drama fulani kuwa ni bora kama kiupande wangu hainipi mzuka wa kuifuatilia basi ni sawa sawa na ushindi wa Tanzania endapo lesotho atakapopata ushindi.

mfano mwengine kuna drama inaitwa let me introduce her ambayo kuna binti fulani aliniomba nimtafutie, hii ni wiki ya tatu nimeihifadhi kwenye PC lakini mzuka wa kuiangalia sina, naisubiria siku tutakayokutana tena maeneo ya uchawini nimkabidhi mzigo wake then niuhamishe kwenye macho yangu.
 
Kuna hii Romance is a bonus book hapa mwanzoni sijaipenda na hata mzuka wa kuendelea nayo sina kabisa nalaumu kupoteza MB zangu

Hio ya let me introduce her huwa naipita na sijui kwanini haijanishawishi kuvuta hata episode moja.

Hivi ID Damushin uliitoa kwa yule mfalme ndani ya Princess Ja myung Go au?
yes, wenyewe walimwita DAEMUSIN (mtakatifu asiyeshindwa kwenye vita).​
hadithi yake ilianzia kwenye kingdom / land of the wind drama japkuwa baadhi ya plot ni uongo kwa sababu muhyul alikulia ndani ya royal family tokea kuzaliwa kwake.
 
Kuna hii Romance is a bonus book hapa mwanzoni sijaipenda na hata mzuka wa kuendelea nayo sina kabisa nalaumu kupoteza MB zangu
dah ! kumalizika kwa romance is a bonus book kiupande wangu bado muda huu natafuta drama ya kuziba nafasi yake kwa week end drama.
kweli binadamu tunatofautiana kifikra.​
 
Chukua hii He is psychometric japo sijaiangalia nasubiria iishe ndo niivute yote. Kuangalia ongoing tabu sana na kuivuta yote kisha ikawa flop napo shida.

Kabisa tunatofautiana hasa pale tunapolazimishana wote kuhamia kwa mchina wakati uzalendo tulishauzika awamu ya nne sijui ya tatu ni mateso sana. all the best lesotho
dah ! kumalizika kwa romance is a bonus book kiupande wangu bado muda huu natafuta drama ya kuziba nafasi yake kwa week end drama.
kweli binadamu tunatofautiana kifikra.​
 
Chukua hii He is psychometric japo sijaiangalia nasubiria iishe ndo niivute yote. Kuangalia ongoing tabu sana na kuivuta yote kisha ikawa flop napo shida.
TvN project zao nyingi ni nzuri hata kama ni maudhui ya comedy, nitakapoiongeza hii kwenye list itanilazimu kwa kila jumatatu na jumanne nizisubirie drama tatu, kwa kipindi hiki nazifuatilia
  1. haechi drama (inamaliza April 30)
  2. item drama. (inamaliza April 2)
 
jumatano na alhamisi
touch your heart drama : inamaliza wiki hii.
the banker drama: inaanza wiki hii

wale wazee wa accounting, banking na auditor uchwara tukutane wiki hii, kiukweli nimewapenda wahusika wakuu wa hii drama na ndio watakanionishajihisha niifuatilie hii project inayoitwa the banker.
kim sang joong, chae sira, yoo dong geun, kim tae woo n.k

1553423185756.png
 
Duh haechi ndefu episode 48 si mchezo

Back
Top Bottom