Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Vita alizokuwa anapigana Gwanggaetto ilikuwa ni kwa ajili ya wananchi wake, kumbuka huwezi fanya shughuli yeyote kama hakuna amani.
Baada ya njia ya Kidiplomasia kushindikana kuleta amani katika Peninsula aliamua Kuzikonka Nchi zote ili ziwe chini ya sheria ya Gogryeo.Lengo la yeye kupigana vita nyingi halikuwa Tamaa ya Ardhi bali ilikuwa Kuleta Amani.
Kitabu kiitwacho Picture in North Korea kimeeleza kuwa Gwanggaetto ni Jina kubwa baada ya Kim il sang, Kim Jong ili na Kim jong Un.
 
nayafahamu yote hayo bwana the great, damdeok aliikuta goguryeo ikiwa katika nyakati ngumu sana kila pembe maadui walikuwa wanainyemelea goguryeo kuiangusha.
hoja yangu iko hapa:
kwa nini maisha ya gwanggaeto yanazungumzwa zaidi upande wake mmoja tu wa kivita na si sera zake za kiutawala.
hivi tukisema genkhis khan naye alikuwa ni great emperor ambaye kila nchi inatamani kuwa naye itakuwa ni sahihi kwa kuangalia mafanikio yake ya vita?
 
Genghis khan the Great ni mfalme aliyekuwa na tabia kama za Alexander the Great, ni mfalme ambaye alikuwa anayatolea udenda mataifa ya wenzie sababu alitawala miaka(1200s) ambayo kidogo Dunia ilikuwa inaanza kustaharabika, suala la yeye kwenda Vitani ilikuwa ni Tamaa zake, Wananchi wa Mongolia waliishi kwa tabu sana enzi zake, ambavyo alipaswa kujenga ustawi wa Taifa hilo jipya na watu wake. Kwa Gwanggaetto Mazingira yaliyokuwepo yalimlazimu kujikita zaidi katika vita, Changamoto kuu iliyokuwepo Gogryeo wakati ule ilikuwa si umasikini bali ilikuwa ni ukosefu wa Amani hivyo ili mlazimu kutafuta ufumbuzi wa Tatizo hilo, Vita hizi zilikuwa kikwazo kustick na Masuala ya Ndani ya Nchi. Sejong kaishi katika era ambazo Mataifa yalikuwa yameanza kuheshimiana kwa kiasi fulani, hivyo hakuwa na Kitisho kikubwa nje ya Nchi hivyo ilikuwa rahisi kwake kushughulikia Ustawi wa Taifa na watu na Raia, ndiyo maana kwangu Joeng Jo na Sejong ndiyo wafalme bora wa Joseon.
Gogryeo ni Gwanggaetto(the Peace Maker) .
 
point yako imenifurahisha kiupande fulani.
pengine upo sahihi ustaarabu nyakati zile za karne ya 4 inawezekana ulikuwa ni finyu ndio maana kila siku walikuwa wanadundana ili atafutwe shujaa wa kijiji.

pia inawezekana watunza kumbukumbu wa royal family hawakuwa wakiandika mara kwa mara matukio ya ndani ya nchi ndio maana tumeshuhudia historia ya gwanggaeto ikideal zaidi upande wa millitary campaign
 
Vitabu Vingi vinaelezea Masuala ya nje ya Nchi, kuwa ndiye mfalme wa kwanza aliyezingunisha Gaya,Baekje na Shilla Kuwa Chini ya Gogryeo, hivyo kwa Kiasi fulani Amani ili patikana kwenye Peninsula ndiyo maana akaitwa the Peace Maker na nadhani hakufaidi Matunda ya Mti aliopanda sababu alipomaliza Kuzikonka na yeye alipoteza maisha akiwa 39. Suala la Kujiuliza Jang su alifanya nini katika utawala wake, maana baba yake alikuwa amemrahisishia mambo.
 
Lee Jong Suk’s Enlistment Date Confirmed
Actor Lee Jong Suk will be enlisting for his mandatory national service on March 8 as a public service agent.
Lee Jong Suk, who suffered a ruptured ACL (anterior cruciate ligament) from a car accident when he was 16, was deemed unfit for service as an active duty soldier. He will instead be assigned to a location by the Military Manpower Administration, where he will be a reservist working as a public service agent.

Lee Jong Suk will be discharged on January 2, 2021.
View attachment 1037724
Aigooooo! Hii drama yake ya Sasa Atakua keshamaliza!?
 
Kuna series yuko Jang hyuk.
images.jpeg
 
Aigooooo! Hii drama yake ya Sasa Atakua keshamaliza!?
kivyovyote itakuwa wameshamaliza kurekodi drama yote lakini sidhani kama amepata mapumziko ya kutosha.
nimtakie kila la kheri kwenye majukumu yake ya miaka miwili, cha muhimu ni kuendelea kumuombea aendelee kuwa na afya njema.

On March 8, he enlisted at an undisclosed district office to begin his service. As he suffered a ruptured ACL (anterior cruciate ligament) from a car accident when he was 16, he was deemed unfit for service as an active duty soldier and is serving as a public service worker.
1552152063311.png
 
IU And Yeo Jin Goo Confirmed To Star In Upcoming Hong Sisters Drama
On March 6, it was confirmed that both of them are now confirmed to star in “Hotel del Luna”

“Hotel del Luna” is about a mysterious hotel in downtown Seoul where ghosts wander around. IU will play Jang Man Wol, an ill-tempered, grumpy, indecisive, distrustful, and greedy character who is being punished for her wrongdoings. Yeo Jin Goo’s character Goo Chan Sung is an elite hotelier who is a perfectionist but actually has a soft heart.

“Hotel del Luna” is set to premiere sometime in the summer this year via tvN.

hii couple natamani nisome stori yao kupitia maisha yao ya ukweli, najua kitakachotokezea mwishoni ni break up kwa sababu ya busy schedule.
hahahahahaaaaaa wakorea na visababu vyao vya ajabu ajabu kama ..............................................
1552152664069.png
 
yes, muda huu najiona kama natoka kifungoni baada ya takribani wiki mbili zilizojaa harakati za kuyafanya maisha yangu yawe kwenye mstari sahihi ila namshukuru mungu nimemaliza kwa amani kimwili na kiroho.
bila ya kusahau nilijiwekea mwaka huu nipunguze ulevi angalau kwa asilimia 50 ili nirudishe mind yangu kama ilivyokuwa mwanzoni nilipokuwa sijawafahamu hawa wazee wa lipstick kike na kiume.

mwaka 2019 nimeuanza kwa kufuatilia drama zifuatazo:
  1. romance is a bonus book drama (jumamosi na jumapili) : love story kati ya mwanaume wa seoul na single mother
  2. haechi drama (jumatatu na jumanne) : historical drama inayoangazia vita ngumu ya siasa kati ya pande mbili zinazokinzana (kaskazini na kusini), kabla na baada ya kifo cha mfalme sukjong joseon ilijikuta ikizidi kudumbukia kwenye political power struggle ambapo wote kwa pamoja walitaka kuwaweka madarakani watoto wanaowataka wao, alikuwepo prince anayeitwa Yeoning-gun ambaye hakukuwepo upande wowote unaomuunga mkono kwa sababu mama yake alikuwa ni kijakazi (dong yi), ilikuwaje mpaka jamaa akawa mfalme hapo baadae na kupewa jina la mfalme yeongjo, huyu yeongjo ndiye babu yake yi san ambapo historia ilimuandika kama ni mwanadamu aliyemuua mwanawe aliyeitwa crown prince sado. Yeongjo alikuwa ni miongoni mwa watawala waliojijengea heshima kubwa sana.
  3. item drama (jumatatu na jumanne) : super natural power ni nzuri sana kwa anayetaka kuifuatilia
  4. touch your heart drama (jumatano na alhamisi) : love story kati ya mwanasheria na muigizaji wa kike aliyepoteza nguvu kwenye soko la sanaa baada ya skendo.
  5. the fiery priest drama ( ijumaa na jumamosi): kwa waumini wa dini ya kikristo hivi priest ndio nani?, humu ndani yumo kim nam gil (bidam) amekuwa muhubiri kichaa si wa akili bali ni wa kushindwa kudhibiti hasira zake.
kama nipo sahihi ni takribani siku 70 zimeshapita tokea tuuanze mwaka huu na hizo ndio drama ninazozifuatilia kila wiki, daebak daebak kama nitaendelea na style hii basi malengo yangu nitaweza kuyafikia.

napenda going on drama kwa sababu hazinipotezei muda mkubwa sana ukilinganisha na zile ambazo zipo completed, kwa ujinga wangu mimi ninapotizama drama ambayo ipo completed kama ipo vizuri naweza kuangalia episode 10 kwa siku ndio maana najaribu kuzipuuzia compeleted drama ili nibane muda wangu.

24 hrs * 7 days = 168 hrs / 10 episode per week = 16.8
nafikiria kuingiza drama nyengine moja iliokuwa compeleted kwa mara ya kwanza tokea uanze mwaka 2019

sielewi kwa nini wendy ana sauti nzuri kila ost anayoimba
sielewi kwa nini yoo in na ana sauti ya kitoto kila drama yake ninayoiangalia wakati umri wake ni miaka takribani 36.

Pole na Hongera kwa kumaliza Mitihn!
 
Hiyo Haechi Nimeanza Kuitizama Na Nipo Episode Ya 16. Hapa Naiona Tofauti Kubwa Sana Kati Ya Goryeo Na Joseon Hasa Katika Classes Mbalimbali Kwenye Society Zao. Kipindi Cha Goryeo Wakati Taejo Yupo Madarakani Inasemekana Alikuwa Na MaQueen Sita (Title Zao Wote Zilikuwa Sawa). Hao MaPrince Waliozaliwa Hapo Walikuwa Hawana Idadi Lakini Sheria Ilikuwa Ni Moja Tu Kwamba Prince Mkubwa Ndio Atashika Madaraka Regardless Amezaliwa Na Queen Yupi!

Ila Kipindi Cha Joseon Daah! Mambo Yakabadilika Sana. Kukawa Na Classes Mbalimbali Za Societies, Kukawa Na Ranks Kibao Za Wanawake n.k. Alafu Isitoshe Kulikuwa Na Sheria Nyingi Zinazowa-Undermine Wanawake Zilizowafanya Wawe Tegemezi Sana Kwa Wanaume Wakati Kipindi Cha Goryeo Wanawake Walikuwa Hata Na Uwezo Wa Kuongoza Familia. Wapo MaPrince Waliotokana Na Wanawake Waliotoka Katika Lower Class Na Waliotoboa Na Kuwa Wafalme Kama Huyo Yeoning Ila Kwa Tabu Sana!
 
Kwa maana kwamba imeshindikana kupata link?
Korean wakishailisha maneno ya kiswahili kwangu ni sawa na supu iliyotiwa Nazi!!
Wanaiharibu kabisa. Kwanza story inabadilika na kama ina action, wengi wanakimbilia scene za action tu

Sent from The Black Forest
 
Kwa Kipindi Cha Goguryeo, Mfalme Bora Wa Kipindi Hicho Anaweza Kuwa Ni Gwanggaeto Ukimtoa Jumong Ambaye Ndiye Baba Wa Taifa Hilo. Lakini Ukija Kipindi Cha Joseon, Sejong The Great Anasimama Kama Mfalme Bora Zaidi Wa Muda Wote Katika Joseon Dynasty!
What about Daemushin au Muhyul (Grandson wa Jumong) ambaye yuko portrayed vizuri kwenye THE LAND OF THE WINDS and JA MYUNG GO

Sent from The Black Forest
 
Back
Top Bottom