Kwa Wanawake wote wa JF

Kwa Wanawake wote wa JF

Glenn na Satoh Hirosh uzi ni WA kuwatakia kheri Wanawake.

Ninyi mpo active kama vile nanyi ni wanawake. Tulieni kando.

sophy27 uwe unaangalia na tabia za hawa watu. Vimbele mbele tu.

sophy27 na Depal ni mabinti bado. Wasubiri siku ya Mtoto wa Afrika na International Day of the Girl Child.
Mkuu unataka tuwaache wapweke? Acha wivu😂😂
 
Glenn na Satoh Hirosh uzi ni wa kuwatakia kheri Wanawake.

Ninyi mpo active kama vile nanyi ni wanawake. Tulieni kando.

sophy27 uwe unaangalia na tabia za hawa watu. Vimbele mbele tu.

sophy27 na Depal ni mabinti bado. Wasubiri siku ya Mtoto wa Afrika na International Day of the Girl Child.
Mimi nilishasema huko juu,nipo lindoni. Kwa hiyo Hakuna shida nikijumuika nao kuwatakia heri.

sophy27 muache usmtajetaje nimemuacha home kalala.
 
Back
Top Bottom