Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,224
🤣🤣 unaenda kurun kwa roadUko bachela alafu una upwilu 😀😀😀 ni huzuni
Ukirudi umechoka
Ni kuoga kulala
Then yo cycle continue
🤣🤣 unaenda kurun kwa roadUko bachela alafu una upwilu 😀😀😀 ni huzuni
Wacha nilale unanipa stress tu namkweza mama yangu popote ulipo i wish u miaka mingi ule vyanguLeo sio siku ya kuwakosoa mkuu.
Ni furaha yao hivyo
Sema neno la kuwakweza
😅😅😅😅😅😅🤣🤣 unaenda kurun kwa road
Ukirudi umechoka
Ni kuoga kulala
Then yo cycle continue
Wamenyimwa au? Morning glory tunaamka saa 10Haahah wapo mapumziko hawaa.. Wanasubiri morning glory😀😀😀
Siyo kweli.Hao wanamiliki wake 7 ndio u loyal huo
Amesema anataka sapoti?Ukampe sapoti aliko basi?
Ghafla Nimekumbuka nyimbo ya "sponsor niachie my wangu" ngoja niplay hapa hiyo nyimbo nipate burudani wakati napiga kazi.Asantee sana my wangu
😀😀😀😀Ghafla Nimekumbuka nyimbo ya "sponsor niachie my wangu" ngoja niplay hapa hiyo nyimbo nipate burudani wakati napiga kazi.
Mida hii Lenie anatokwa na udenda tu. Na alivyo mlalavi wa hovyo sasa.😂😂 naogopa hata kulike
Kheri zake zaweza kuwa za mchongo