Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,415
- 30,132
Cha unabe😅Ehee ngoja atajua hajui🤣
Cha unabe😅Ehee ngoja atajua hajui🤣
😅😅😅😅Futa machozi ulale
Na we ndio mwenyekiti wetu 🥂Wote mlio active muda huu mpo Stressed na maisha.
Aya tengenezeni group lenu huko mjifariji.
Wewe ni kapole. Ila stress zinakuondolea Siha yako. Chill and relax. Bado katoto.Na we ndio mwenyekiti wetu 🥂
Uwe admin wetuWote mlio active muda huu mpo Stressed na maisha.
Aya tengenezeni group lenu huko mjifariji.
😂😂😂Wewe ni kapole. Ila stress zinakuondolea Siha yako. Chill and relax. Bado katoto.
Hakuna kitu sipendi kama kuamka saa nane.😂😂😂
Kwa taarifa fupi tu,, tuliomacho sahivi means tulilala tokea saa 1 baada ya chakula cha jioni.
Na sasa usingizi umeisha, tunasaka mwingine
Tena wewe usingenusa.Huyo hafai atatoa wanaume wote abaki na ke tu🤣
😀😀😀😀😀 ataweza kweli? Avatar tu kalia eti Dr RestartHuyo hafai atatoa wanaume wote abaki na ke tu🤣
Dhaifu sana na akiona kyupi si anazikwa?🤣🤣😀😀😀😀😀 ataweza kweli? Avatar tu kalia eti Dr Restart
Sitaki dhambi niache 😀😀