Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,910
- 31,743
๐๐๐aya fanya chapKumbe! ๐๐๐๐ฆ
Subiri niwape kaujumbe basi
๐๐๐aya fanya chapKumbe! ๐๐๐๐ฆ
Subiri niwape kaujumbe basi
Asante kwa wishes zenu.. Huelewi nini๐๐๐๐ค
Amehlo nakusalimu Sana my dear.Uko bachela alafu una upwilu ๐๐๐ ni huzuni
Leo sio siku ya kuwakosoa mkuu.๐๐๐ Kuwapa kheri mama zet, dada zetu, wapenzi wetu napo shidaaa
Japo ujasema kuwa hawa ni mitihani kwa wanaume ndio wanaoudondosha ufalme, isingekuwa wao tungekuwa tunaishi edeni
Mlinzi kuibiwa Ni uzembe Sana. Nikipitiwa na usingizi naiweka kwenye nyeti isianguke.Angalia usiibiwe simu๐คฃ
Shimba ya Buyenze amka mkuuMkuu Shimba ya Buyenze asubuhi pakikucha usijisumbue kumtakia heri ya siku ya wanawake mpwa wako sophy27 maana Mimi tayari nimekuwakilisha. Mwache tu asherehekee.
Shimba ya Buyenze Sasa hivi amezima simu amelala. Wasukuma Ni loyal Sana na ndoa zao,siyo Kama nyie watu wa daslamu mpo kitandani saa nane usiku saa hizi mnachati badala ya kukumbatia Bibi.Shimba ya Buyenze amka mkuu
Asante kushukuru, karibu ๐Asante kwa wishes zenu.. Huelewi nini๐๐
Unawajua wasukuma wewe?Shimba ya Buyenze Sasa hivi amezima simu amelala. Wasukuma Ni loyal Sana na ndoa zao,siyo Kama nyie watu wa daslamu mpo kitandani saa nane usiku saa hizi mnachati badala ya kukumbatia Bibi.
Thubutuuu...Utakatwa nyeti mkuu
Unataka kusemaje?Unawajua wasukuma wewe?
๐๐๐๐๐ฅโ๏ธโค๏ธ
View attachment 2541190