Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
- Thread starter
- #21
Barikiwa mnoo DahanAsante mnoo Glenn Half american 😂..
Barikiwa mnoo DahanAsante mnoo Glenn Half american 😂..
Amen, Asante sana 😊Joannah
Valentina
Saint Anne
Shunie
Dahan
Amehlo
Bantu Lady
ahzan
nana_
To yeye
Unique Flower
mawardat
Kasie
Joan lewis
mama D
Nawatakia furaha, amani, upendo pamoja na utulivu wa mioyo yenu
😂😂Hivyo mnapo sherehekea siku yenu msijione wanyonge bila kujali mnapitia hali gani.
Halafu saa nane hii ya usiku unachati shemeji atahisi unachepuka mkuu.🤣🤣🤣🤣si umeongezea?
😂😂tujipongeze😂😂
Kumbe siku inapaswa kusherehekewa? DK 🤷♀️
Pakuche tupike maubweche
Karibu 😊Amen, Asante sana 😊
Siaminiki kwa lipi mkuu? Mwenzio nipo job now nalinda maduka ya watu yasivunjwe,wewe umelala lkn unachezea simu. Ngoja shemeji akufume.Huaminiki kijana?
hakikaMnastahili
🙄🤔Asante mnoo Glenn Half american 😂..
Madam kitenge changu usisahau 😀😀😂😂
Kumbe siku inapaswa kusherehekewa? DK 🤷♀️
Pakuche tupike maubweche
Mimi nipo lindo nalinda maduka ya watu. Ila mbu wanag'ata Sana asee!!kwahiyo nyie ambao hamjalala saa8 hii kasoro ndio mabachela sugu wa jf? 😂😂😂
Me na Dahan tumeamka kuangalia vifaranga visijedondokea uvunguni