Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,508
- 203,230
😄 sasa si uachie simu hiyo ukalaleHakuna kitu sipendi kama kuamka saa nane.
Kesho najua kibaruani nitachelewa tu. Usingizi utanipitia, kushtuka saa mbili.
Nimejihami tayari. Nimeomba udhuru wa kuchelewa kidogo.