Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,673
- 167,729
Kwa taarifa tu, wanaume ambao wanakaa kimya ndo huwa wanabalaa la hatari, balaa lake halina mfano ila nyie wapiga kelele.... Ndo kwanza ukifumania unalia chozi na kamasi vinakutana shingoni, na ukute ndo una mwanamke dakika mbili mbele anakutishia kuachana unaanza kupiga magoti kuomba msamaha, sorry mke wangu nakupenda usiondoke ha ha haW
Wengine ni hulka zao tu. Hata wafanyweje lkn bado watachepuk
Najua kama unacheat sana. Ila sina uhakika kama mumeo analijua hilo. Hivyo basi cheat kwa namna itakayomfanya mumeo ajue, halafu utuletee mrejesho wake
Umefumania, unalia na msamaha unaomba