Kwa wanawake walioko kwenye ndoa tu

Kwa wanawake walioko kwenye ndoa tu

6 na 9 yote majibu inategemea upande unakosimamia kuisoma hiyo namba, Tatizo wanaume mlizoea kuwaona wanawake kaa viumbe dhaifu, viumbe wa kulia lia, kuogopa mwanadamu kuliko Mungu....!! Tumevumilia tumechoka na sie tuna reproductive organ kama zenu ambazo tukiwaona waliowazidi nyie na sie vinanyevua nyevua ila tunaufyata kwa heshima ya ndoa zetu, hebu badirikeni jaman.. Kwani vile viapo vya uaminifu tulivyoapa si kwa ajili yetu sote!! Kwani mliambiwa nyie Mchokonoe vya nje ila sisi tubaki ndani tunasubiri minyororo yenu..!!
Na sisi tuna Moyo sio jiwe.
..Huu ujumbe usisahsu kucopy kwa baba watoto wako..
 
Hujasolve tatizo,unamchukuliaje huyu mwanamke unayemuumiza moyo kiasi hiko...dawa ya usaliti wako ni nini?nini maana ya viapo vya ndoa?heshima ya ndoa iko wapi? ukianza moja una guarantee ya kutokuwa cheated on kwani?
Ishu ni pale mtu anacheat hadi anajisahau,mpo wengi tu na tabia hizi...
Na dunia imebadilika sn sikuhizi,mjiangalie vijana,usitegemee binti aishi kama enzi za Akina mama wa zamani wakati wewe pia huishi kama kina baba wa zamani
😀😀😀
Ukweli mchungu
 
Piga picha unaishi na mtu ndani na anakusaliti kiasi hiki...unayajua maovu yake na bado hakuridhishi anapoteza nguvu zake nje ana madudu mengi tu,huyu mwanamke ana moyo wa chuma au?..u seriously deserve the pain ya kuwa cheated on pia
Sometimes mtu unavumilia kwa jinsi jamaa anavyokuheshimu na anavyokujali..
Ukizidi,everyone is human...
The bitter truth...thanx ladyred. .. ukiona ke anatoka jihoji sana siyo bure
 
W
The bitter truth...thanx ladyred. .. ukiona ke anatoka jihoji sana siyo bure
Wengine ni hulka zao tu. Hata wafanyweje lkn bado watachepuk
Kwani unajuaje kama sicheat? Hadi uniambie nijaribu?
Najua kama unacheat sana. Ila sina uhakika kama mumeo analijua hilo. Hivyo basi cheat kwa namna itakayomfanya mumeo ajue, halafu utuletee mrejesho wake
 
Back
Top Bottom