Kwa wanawake walioko kwenye ndoa tu

Unamtimizia haja zake ndani ya nyumba lakini?mwanamke si mwepesi kucheat
Exactly.. Mpka uone mwanamke amecheat ujue wee mwanamme una makasoro meng sana ambayo hayavumiliki..!! Women cheat for love bt men cheat for pleasure..!! Muwe mnaji evaluate kwanza kbla ya kufanya maamuzi magumu kama Hayo ya kuwaacha wake zenu.!!
 
Mwanamke / mwanaume anaye jitambua nakujua dhamani ya mwenza wake hawezi kuchepuka hata iweje atajitunza tu
 
Mwanamke / mwanaume anaye jitambua nakujua dhamani ya mwenza wake hawezi kuchepuka hata iweje atajitunza tu
Hujakutana na maudhi wewe...ishu ni huyo mwenza unaemthamini asipokuthamini wewe utaisoma nambaa...piga picha anazaa nje na kuhamia huko muda mwingine, haki ya ndoa inakua ya kuvizia
 
Back
Top Bottom