miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
Mmh
Me mzima my ndugu, nashukuru sanaHuwa unanifurahisha sana unapotoa comments zako. Mzima wewe lakini pia pole sana kwa msiba wa mzee.
Naomba kabisa hiyo bukuHebu pewa ulanzi wa buku hapo...nitalipa
Hahahahahaha na kweli bestUsinyooshee vidole watu, yako yanakushinda utayaweza ya jirani
Kwani wewe umezoea utafiti unafanyiwa wapi?Utafiti huu na wewe umeufanyia wapi?
Mhhhhhhhhhhhhhila mume wangu wa ndoa nivumilie eeh! Hahahaa wachepukaji waendelee tu kutuwakilisha bwana
Acha watu wajinafasi majukwaa yote bwanaKuna ushuhuda nimesoma eti michepuko ilitaka kumwibia . Ila na wewe Namba za wanaume wa jukwaa la siasa kina liza na wenzake ufute. Sawa[emoji54]!
Shemeji anaijua hiyo hasira yako?Nimo katika hao wa 3, ila yangu ni extreme maana huyo mchepuko nitamshughulikia
Unajuaje kama yangu yamenishinda?Usinyooshee vidole watu, yako yanakushinda utayaweza ya jirani
Kenge wewe dont generalize ur problems! kama mkeo kichwa maji wapo wasikivu wanaotunza ndoa zao!Mijanamke ya siku hizi iko sugu mkuu, tena iko sugu kwa kila jambo. Kwahiyo hayaelewi wala kuambilika ... Yani ipoipo tu.
Unaonekana tu kupitia maandiko yako!Unajuaje kama yangu yamenishinda?
Mnatoa mauchafu ya vichwani mwenu alafu mnajitia mmefanya utafiti utafiti gani huo imbalanced kiasi hicho!!! shindwaaa na ulegeeKwani wewe umezoea utafiti unafanyiwa wapi?
Teh eti wanaishi in the tiny box , girllllll. Mungu atusaidieUaminifu umekuwa sifa mbovu mno! Haivutii kabisa!! In fact, you thinking there are faithful people out there is childish and day dream!!
VERY SAD.
Haina tofauti na wanaofikiri wanaume wafanya kazi za nyumbani hawapo. Kuna moja humu aliniambia "wewe tv inakudanganya umeshawahi kuona wapi mwanaume anafanya kazi za nyumbani" 😀
I guess this is the female version.
Some people are living in this tiny box wanazunguka zunguka humooo and that's all they know. Hawajui hilo box liko kwenye go down lenye thousands of boxes.
Eeeh ukikua ndo utaanza kuamini na kuishi this biggest lie "all men cheat"? Then be young forever swts. Aisee knowing your "Self Worth" ni kitu cha muhimu sana
😀 😀
Me subiri nikue kwanza
Shemeji kwa hiyo huyu anatutishia au>?tumekusikia
..Kimaumbile ukimcheat mwanaume akagundua ningumu sana kuendelea n.a. wewe labda awe zoba (Limbwatalized)Hujasolve tatizo,unamchukuliaje huyu mwanamke unayemuumiza moyo kiasi hiko...dawa ya usaliti wako ni nini?nini maana ya viapo vya ndoa?heshima ya ndoa iko wapi? ukianza moja una guarantee ya kutokuwa cheated on kwani?
Ishu ni pale mtu anacheat hadi anajisahau,mpo wengi tu na tabia hizi...
Na dunia imebadilika sn sikuhizi,mjiangalie vijana,usitegemee binti aishi kama enzi za Akina mama wa zamani wakati wewe pia huishi kama kina baba wa zamani
..Mkangafu au mdindifu beya!..Hebu pewa ulanzi wa buku hapo...nitalipa