Kwa wanawake walioko kwenye ndoa tu

Wanaume tunacheat sana. Unaweza kucheat hata mara 50 ila siku ukisikia au kufumania kitu mubashara either utaua, utalawiti au utavunja ndoa. Tuwe tunakua fair kidogo wakuu..na wao ni watu wenye mioyo. Sometimes wanakuwa na uhakika 98% kwamba wanachotiwa lakini wanamezea tu.

Having said that, let me be wa 39 kati ya 42
Piga picha unaishi na mtu ndani na anakusaliti kiasi hiki...unayajua maovu yake na bado hakuridhishi anapoteza nguvu zake nje ana madudu mengi tu,huyu mwanamke ana moyo wa chuma au?..u seriously deserve the pain ya kuwa cheated on pia
Sometimes mtu unavumilia kwa jinsi jamaa anavyokuheshimu na anavyokujali..
Ukizidi,everyone is human...
 
Nyie wanawake mlioolewa hivi mnajua wanachowawazia waume zenu pindi ikitokea kakufuma na mchepuko?

Kati ya wanaume 40 walioulizwa ni hatua gani atachukua akijua mkewe anamcheat! Matokeo yako hivi:

Wanaume 37 wamesema watavunja ndoa zao, wanaume 3 wanesema wataua wake zao.

Yawezekana wengi wenu mlikua hamjui waume zenu watachukua hatua gani.
Je kwenu nyie mlilolijua hili na bado mna michepuko mko tayari kuvunja ndoa pindi waume zenu wakigundua?
Na mwanaume akifumwa na mkewe afanywaje, au huo utafi kwa wanaume tu juu ya wake aihusu wanawake maana hawana uchungu
 
Rudia utafiti huu humu, ulinganishe na huo ambao huhataja umefanyika lini, wapi na nani. Sampuli ilikuwa wangapi, na swali liliulizwaje, nk!
 
Piga picha unaishi na mtu ndani na anakusaliti kiasi hiki...unayajua maovu yake na bado hakuridhishi anapoteza nguvu zake nje ana madudu mengi tu,huyu mwanamke ana moyo wa chuma au?..u seriously deserve the pain ya kuwa cheated on pia
Sometimes mtu unavumilia kwa jinsi jamaa anavyokuheshimu na anavyokujali..
Ukizidi,everyone is human...
Unajua dawa ya kusalitiwa sio kusalit. Hata vitabu vitakatifu vyote biblia na kuran vimeruhusu kuachana iwapo kuna ushahidi wa kusalitiwa.
Uwezo wa mwanaume katika mahusiano unazidi wa mwanamke. Mwanaume anaweza kuwa na uhusiano na wanawake zaid ya mmoja na asipoteze upendo kwa mke wake. Wengine hata wamekuwa na wake wengi na wameishi vizuri.

Lakini wanawake akisha cheat ujue amesha kuvua akilin mwake. Yaani anakushusha thaman kwanza. Unakuwa hauna maana kwake ndo anaenda kumvulia chupi mwingine. So ukishakuwa na uhakika kuwa mkeo ka cheat ina maana haupo tena akilin mwake. Na hata siri zako zote ameshazitoa kwa huyo firaun mwenzake. The best way you can do ni kuachana nae on point kabla hajawa sumu mbaya kwako au kabla hajakumalizia kabisa.

Akiku cheat na ukavumilia hakuna kitu cha maana mtakacho fanya kama familia.
 
Hujasolve tatizo,unamchukuliaje huyu mwanamke unayemuumiza moyo kiasi hiko...dawa ya usaliti wako ni nini?nini maana ya viapo vya ndoa?heshima ya ndoa iko wapi? ukianza moja una guarantee ya kutokuwa cheated on kwani?
Ishu ni pale mtu anacheat hadi anajisahau,mpo wengi tu na tabia hizi...
Na dunia imebadilika sn sikuhizi,mjiangalie vijana,usitegemee binti aishi kama enzi za Akina mama wa zamani wakati wewe pia huishi kama kina baba wa zamani
 
Na mwanaume akifumwa na mkewe afanywaje, au huo utafi kwa wanaume tu juu ya wake aihusu wanawake maana hawana uchungu
Uchunguzi umefanywa kwa wanawake tu. Hata hivyo tumeshuhudia mara nyingi wanaume wakifumaniwa impact yake haiwi kubwa kiihivyo.
 
Mwanaume hata hujamcheat akiona tu mtu anaonyesha interest au hata wa kazini anakucall mara kwa mara ishu za kazi lazima aulize afuatilie na ukali wa kutosha na raha unakosa ila wao wafanye ujinga anataka uvumilie hapo me nawashangaa kabisa wakati nyie ndo mahodari wa michepuko mara ngap hapa kuna thread sijui mchepuko umefanya hivi mara vile,Usichopenda kufanyiwa basi usimfanyie mwenzako maana wanaume kama vile mnataka kuhalalisha kuwa na mchepuko ni sahihi kabisa kama mwislamu oa wanne wengine penda huyo mmoja tulia
 
Anayekuheshimu na kukujali ha Cheat.

Ndo Hawa wanafikiri wakikupa hela somehow makes up for his betrayal and consequential distrust.
Hakuna mwanaume asiecheat...wala ndoa miaka yote mwenzi mmoja asiecheat, ni hali halisi katika mahusiano mengi
 
Back
Top Bottom