Kwa wanawake walioko kwenye ndoa tu

Kwa wanawake walioko kwenye ndoa tu

Na mpaka mwanamke anaekupenda kweli fikie lengo la kukusaliti ni kwamba hujali hisia zake...

Vinginevo ngumu sana kukuchepukia
Anaekupenda kweli!!
Sasa utajuaje kama anakupenda kweli?
 
Anaekupenda kweli!!
Sasa utajuaje kama anakupenda kweli?
Wewe huwezi jua unampenda fulani kweli?

Huna uhakika kwamoyo wako juu ya upendo wako kwake?

Usiniulize juu ya upendo wake kwako. Nauliza pendo lako kwake
 
Since you took the trouble to mention me, so here I come.

What's wrong with flirting? I am not a married man, for all I know.

Is flirting forbidden or something?

Apropos of me smashing married women, what's wrong with that if they were/are willing participants?

My skewed view view on fidelity? How so?

Mind delineating?

Yes I do. A very beautiful and smart one at that. The apple doesn't fall far from its tree.

Ha!

How do you know that? Are you looking into some crystal ball or something?

Do you have clairvoyant powers or something?

Pray tell, please.

And you're saying this with a high degree of certitude, huh?

You must be really good at telling what the future holds.

So in essence what you are saying here is that I don't believe in values, right?

Negative.

You will never find a person with an unimpeachable rectitude and unquestioned probity more than I.

Moral values are very high on my list.

My beautiful princess is in good hands.

With her I expect a whole hell of a lot more than just 'better'.

What else....?
Kwanza I'm not wishing any misfortune on your daughter, or any daughter for that matter.

Ni njia ya uandishi nimetumia kuonyesha character za watu zilivyo na correlation na misimamo yao, na implications za mambo tunayoyafanya and the way we influence people, (kutumia Yale unayoandika humu tu).

The fact that you question misimamo ya watu wanaodai kuwa waaminifu to me shows how skeptical you are to the idea na kuona watu wanaoamini wenzao kama kichekesho, bila hata Ku acknowledge kuwa waaminifu wapo.

Well obviously from what you've said our moral standards zinapingana , and of course you have liberty to hold your own standards.
 
Kuchepuka hakukwepeki, na mvunje tu.
Mie nitakuwa wa 38 kati ya hao 40 nitakaeungana na hao wanaume kwenye kuvunja.
 
HATA ANIROGE NIWE POYOYO KWA HILO LA KUCHEAT HAKUNA MJADALA. NIKIVUMILIA SANA SITAUA WALA KUPIGANA ILA APOTEE MBELE YA MACHO YANGU MILELE. AKAANZISHE MAHUSIANO MENGINE AU AENDELEZE HUO MCHEPUKO
 
Kwanza I'm not wishing any misfortune on your daughter, or any daughter for that matter.

Okay, good and much appreciated.

Ni njia ya uandishi nimetumia kuonyesha character za watu zilivyo na correlation na misimamo yao, na implications za mambo tunayoyafanya and the way we influence people, (kutumia Yale unayoandika humu tu).

Well, sawa. Ila sidhani kabisa kama ninayoyaandika humu yanaakisi hata kwa robo character yangu. Na ndo maana umemwona dada Reaina amekuja ku vouch hapo.

The fact that you question misimamo ya watu wanaodai kuwa waaminifu to me shows how skeptical you are to the idea na kuona watu wanaoamini wenzao kama kichekesho, bila hata Ku acknowledge kuwa waaminifu wapo.

Naona huwa hunisomi vizuri na kunielewa. Mimi mara nyingi huwa najitahidi kuwa makini sana na kauli zangu na pia huwa najitahidi kuwa mhalisia.

Hata siku moja sijawahi kuhoji misimamo ya watu wanaodai kuwa ni waaminifu kwa wenza wao. Kama huwa unanisoma vizuri, huwa nahoji imani waliyonayo kwa wenzao.

Wewe unaweza kusema uko mwaminifu kwa mwenzako na ukasema kuwa mwenzako naye ni mwaminifu 100% kwako.

Hojaji yangu hapo itakuwa ni imani uliyonayo kwa mwenzako. Kama hauko naye muda wote wewe una uhakika gani kuwa kweli yeye ni mwaminifu 100%?

Sawa, nakubali ni imani tu na kwenye imani hakuna kitu kama 100%. Na ndo ule usemi wangu wa kwamba 'uaminifu wa mtu ni siri ya mtu moyoni mwake' unapoingia kwenye mlinganyo.

Wewe binafsi ndo unaujua uaminifu wako kwa uhakika. Wa mwenzako huujui kivile.

Sasa hapo ni kivipi si acknowledge kuwa waaminifu wapo?

Huwa inahitaji utulivu wa akili kunisoma na kunielewa.

Well obviously from what you've said our moral standards zinapingana , and of course you have liberty to hold your own standards.

Wala hazipingani kivile ingawa hazilingani kwa asilimia 100.
 
Well I wouldn't know miss!!! I only judge from the writing. Still kawakilisha character za watu ambao wapo!!!

But thanks for the info. Sorry Nyani Ngabu , Very unfortunate that it had to be your name I use.

Let not your heart be troubled.

It's all gravy.
 
Okay, good and much appreciated.

Well, sawa. Ila sidhani kabisa kama ninayoyaandika humu yanaakisi hata kwa robo character yangu. Na ndo maana umemwona dada Reaina amekuja ku vouch hapo.

Naona huwa hunisomi vizuri na kunielewa. Mimi mara nyingi huwa najitahidi kuwa makini sana na kauli zangu na pia huwa najitahidi kuwa mhalisia.

Hata siku moja sijawahi kuhoji misimamo ya watu wanaodai kuwa ni waaminifu kwa wenza wao. Kama huwa unanisoma vizuri, huwa nahoji imani waliyonayo kwa wenzao.

Wewe unaweza kusema uko mwaminifu kwa mwenzako na ukasema kuwa mwenzako naye ni mwaminifu 100% kwako.

Hojaji yangu hapo itakuwa ni imani uliyonayo kwa mwenzako. Kama hauko naye muda wote wewe una uhakika gani kuwa kweli yeye ni mwaminifu 100%?

Sawa, nakubali ni imani tu na kwenye imani hakuna kitu kama 100%. Na ndo ule usemi wangu wa kwamba 'uaminifu wa mtu ni siri ya mtu moyoni mwake' unapoingia kwenye mlinganyo.

Wewe binafsi ndo unaujua uaminifu wako kwa uhakika. Wa mwenzako huujui kivile.

Sasa hapo ni kivipi si acknowledge kuwa waaminifu wapo?

Huwa inahitaji utulivu wa akili kunisoma na kunielewa.

Wala hazipingani kivile ingawa hazilingani kwa asilimia 100.
Umekuta watu wanabishana kuwa hakuna mwanaume asiye cheat.

wewe unakuja kusema kuwa uaminifu wa mtu ni siri ya moyoni bila kuacknowlege waaminifu wapo, huoni unaonyesha kutilia shaka uaminifu wa watu kama Hawa wanawake waliojikatia tamaa hence convincing the other sheep that kweli wanaume wote hu cheat?

And why maandishi yako hayaakisi your character you have a personality disorder or sth!

N nope I think our standards are very different.
 
Okay...

Wewe una matatizo ya uelewa!

Kwa hiyo unabisha kuwa uaminifu wa mtu si siri yake moyoni?

Wewe kama una mwenza wako, huyo mwenza wako anajua kwa uhakika kuwa wewe huchepuki?

Kati ya yeye na wewe, nani mwenye uhakika zaidi wa uaminifu wako?

Kwa nini unajiita 'housegirl' humu? Wewe ni 'housegirl' or sth?

Your brain...your mind.

You can think all and what you what.

Heck, go ahead and think that you are a billionaire and go to the bank and withdraw half a bill....
 
Okay...

Wewe una matatizo ya uelewa!

Kwa hiyo unabisha kuwa uaminifu wa mtu si siri yake moyoni?

Wewe kama una mwenza wako, huyo mwenza wako anajua kwa uhakika kuwa wewe huchepuki?

Kati ya yeye na wewe, nani mwenye uhakika zaidi wa uaminifu wako?

Kwa nini unajiita 'housegirl' humu? Wewe ni 'housegirl' or sth?

Your brain...your mind.

You can think all and what you what.

Heck, go ahead and think that you are billionaire and go to the bank and withdraw half a bill....
Ngabu zis iz tu machi
 
Back
Top Bottom