Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,027
- 142,938
Umemaliza...
Haya nasubiri chicken biryani yangu....
Umemaliza...
Hiyo umeipata. Andaa tumbo tuHaya nasubiri chicken biryani yangu....
Hapo sasaDo whatever you want. Hivi mtu hadi anacheat/iba si anaenda kuchukua ambacho hauna wewe? Sasa kwanini asiende moja kwa moja kwa mwenye nacho asihangaike tena?
Cheating is a foolish game .
Haha..patamuuuHapo sasa
Umeoa?Haha..patamuuu
Bado ...Umeoa?
Sawa.Bado ...
Mmmh...ebu umalizie ulichokuwa unaulizaSawa.
wewe je ukicheat inakuwaje? hatupendi upendeleo ujue😉😉😉😉Nahisi nikioa nitakuwa kati ya hao 37. Kwenye mahusiano nikiskia au nikajua mwenzangu anacheat huwa sinaga longolongo.
Sasa kama wewe Nyani Ngabu kutwa kuflirt na wanawake humu and you've claimed to have slept with married women.
Sishangai your skewed view on fidelity.
Halafu you have a daughter.
Atakuja kuzaa na mwanaume anayeflirt flirt na watu,
na yeye atacheat kwa mume like those women u banged
then she'll decide committed relationships are hypocritical
and decide to be a single mum with random partners just because of being influenced by people who dont beleive in values.
I mean do u expect any better!
JE WEWE UNAFAHAMU JIBU LA SWALI HILO KUTOKA KWA WANAWAKE? KAMA UNGELIFAHAMU PIA USINGALICHEPUKA TENA.Nyie wanawake mlioolewa hivi mnajua wanachowawazia waume zenu pindi ikitokea kakufuma na mchepuko?
Kati ya wanaume 40 walioulizwa ni hatua gani atachukua akijua mkewe anamcheat! Matokeo yako hivi:
Wanaume 37 wamesema watavunja ndoa zao, wanaume 3 wanesema wataua wake zao.
Yawezekana wengi wenu mlikua hamjui waume zenu watachukua hatua gani.
Je kwenu nyie mlilolijua hili na bado mna michepuko mko tayari kuvunja ndoa pindi waume zenu wakigundua?
Nyani Ngabu is far better than he might seem in here.Kila kitu maishani kinaenda kwa degree flani ya imani and trusting your partner is no different.
Kuna wanaume wana familia na wanaheshimiwa lakini wanapumuliwa kwa siri. Inawezekana wanaume wote ni mashoga sema they do a very good job hiding it.
Kuna ma serial killer yalikuwa na wake na watoto. Inawezekana kabisa mume kila Siku anaua na kufukia watu huko sema watu hawajamkamata tu.
Betrayal ni sifa mbaya, I put it right next to murder. Atakayeniona wa ajabu nitamuonea huruma tu, manake hadi ukubali kuishi na mtu asiye sensitive na makosa wala guilt conscience lazima ushakua mentally and emotionally fu¢ked and its just sad and pathetic.
Siamini mtu ata cheat bila kuacha a single trace. There are always signs people too busy, too tired, too proud,too dumb to see, or just don't care until reality hits the face.
Just because we see people cheating is no excuse to downplay the VIRTUE of HONESTY and FIDELITY.
Eti ni Imani tu! Subconsciously and indirectly implying everyone cheats and doubting people who say they don't.
Halafu its obvious kuna watu na watu.
Sasa kama wewe Nyani Ngabu kutwa kuflirt na wanawake humu and you've claimed to have slept with married women. Sishangai your skewed view on fidelity.
Halafu you have a daughter. Atakuja kuzaa na mwanaume anayeflirt flirt na watu, na yeye atacheat kwa mume like those women u banged then she'll decide committed relationships are hypocritical
and decide to be a single mum with random partners just because of being influenced by people who dont beleive in values.
I mean do u expect any better!
Nyani Ngabu is far better than he might seem in here.
The guy is unbelievably well-mannered.
Na mpaka mwanamke anaekupenda kweli afikie lengo la kukusaliti ni kwamba hujali hisia zake...Umeoa halafu mwanamke anakusaliti iyo ni boonge moja ya dharau
Hapo indirect unapewa message kwamba una mapungufu makubwa ya kimwili, kiakili au kipesa
Umesema kweli kaka... Jitahidini kua fairWanaume tunacheat sana. Unaweza kucheat hata mara 50 ila siku ukisikia au kufumania kitu mubashara either utaua, utalawiti au utavunja ndoa. Tuwe tunakua fair kidogo wakuu..na wao ni watu wenye mioyo. Sometimes wanakuwa na uhakika 98% kwamba wanachotiwa lakini wanamezea tu.
Having said that, let me be wa 39 kati ya 42
Hahaha.... Had to drop a hint that fellas shouldn't worry about Ngabu's moral values...seriouslyHey Rei....shhhh.
Don't say a word lest 'they' say me and you are one and the same😉.
Hahaha.... Had to drop a hint that fellas shouldn't worry about Ngabu's moral values...seriously
DuuuSince you took the trouble to mention me, so here I come.
What's wrong with flirting? I am not a married man, for all I know.
Is flirting forbidden or something?
Apropos of me smashing married women, what's wrong with that if they were/are willing participants?
My skewed view view on fidelity? How so?
Mind delineating?
Yes I do. A very beautiful and smart one at that. The apple doesn't fall far from its tree.
Ha!
How do you know that? Are you looking into some crystal ball or something?
Do you have clairvoyant powers or something?
Pray tell, please.
And you're saying this with a high degree of certitude, huh?
You must be really good at telling what the future holds.
So in essence what you are saying here is that I don't believe in values, right?
Negative.
You will never find a person with an unimpeachable rectitude and unquestioned probity more than I.
Moral values are very high on my list.
My beautiful princess is in good hands.
With her I expect a whole hell of a lot more than just 'better'.
What else....?