LadyAJ
JF-Expert Member
- Oct 21, 2015
- 7,173
- 9,656
Ndio Tuache shoga yangutumekusikia
Ndio Tuache shoga yangutumekusikia
Eeh eeh Babu weee hebu tutake radhi Dunian hakuna Mijanamke atii [emoji108]Mijanamke ya siku hizi iko sugu mkuu, tena iko sugu kwa kila jambo. Kwahiyo hayaelewi wala kuambilika ... Yani ipoipo tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwan nilikwambia nachepuka
Ahahahahhhhh tutaacha shoga si kwa vitisho hivyoNdio Tuache shoga yangu
Mijanamke je umemjulisha na mama yako,dada zako au wao hawapo ktk kundi la mijanajike?Mijanamke ya siku hizi iko sugu mkuu, tena iko sugu kwa kila jambo. Kwahiyo hayaelewi wala kuambilika ... Yani ipoipo tu.
Usinyooshee vidole watu, yako yanakushinda utayaweza ya jiraniBila shaka huchepuki tena
[emoji16][emoji16][emoji16]utafkili wameshawahi nifuma nachepuka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna ushuhuda nimesoma eti michepuko ilitaka kumwibia . Ila na wewe Namba za wanaume wa jukwaa la siasa kina liza na wenzake ufute. Sawa[emoji54]!Daby mi naomba tuache tu kuchepuka kaka yako usikute yupo kwenge hao wa 3 [emoji5]
Mtenda akitendewa huisi ameonewa! Ndio mjue na sie tunaumia kwa dharau mnazotuleteaUmeoa halafu mwanamke anakusaliti iyo ni boonge moja ya dharau
Hapo indirect unapewa message kwamba una mapungufu makubwa ya kimwili, kiakili au kipesa
Shualina....Kwan nilikwambia nachepuka
ila mume wangu wa ndoa nivumilie eeh! Hahahaa wachepukaji waendelee tu kutuwakilisha bwanaMke wako wa ndoa akikucheat vunja tu ndoa hakuna upendo tena hapo.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] pointWanaume tunacheat sana. Unaweza kucheat hata mara 50 ila siku ukisikia au kufumania kitu mubashara either utaua, utalawiti au utavunja ndoa. Tuwe tunakua fair kidogo wakuu..na wao ni watu wenye mioyo. Sometimes wanakuwa na uhakika 98% kwamba wanachotiwa lakini wanamezea tu.
Having said that, let me be wa 39 kati ya 42
NgabuShualina....
Utafiti huu na wewe umeufanyia wapi?Unajua dawa ya kusalitiwa sio kusalit. Hata vitabu vitakatifu vyote biblia na kuran vimeruhusu kuachana iwapo kuna ushahidi wa kusalitiwa.
Uwezo wa mwanaume katika mahusiano unazidi wa mwanamke. Mwanaume anaweza kuwa na uhusiano na wanawake zaid ya mmoja na asipoteze upendo kwa mke wake. Wengine hata wamekuwa na wake wengi na wameishi vizuri.
Lakini wanawake akisha cheat ujue amesha kuvua akilin mwake. Yaani anakushusha thaman kwanza. Unakuwa hauna maana kwake ndo anaenda kumvulia chupi mwingine. So ukishakuwa na uhakika kuwa mkeo ka cheat ina maana haupo tena akilin mwake. Na hata siri zako zote ameshazitoa kwa huyo firaun mwenzake. The best way you can do ni kuachana nae on point kabla hajawa sumu mbaya kwako au kabla hajakumalizia kabisa.
Akiku cheat na ukavumilia hakuna kitu cha maana mtakacho fanya kama familia.
Mfano ni yeye mwenyeweToa mifano
Waache waondoe stress mama wameshavurugwa hao![emoji16][emoji16][emoji16]utafkili wameshawahi nifuma nachepuka
Nimefuta kuanzia sasa, maana ugali ni mgumu kupatikana lakini mtamu 3/40 si kitu mchezoKuna ushuhuda nimesoma eti michepuko ilitaka kumwibia . Ila na wewe Namba za wanaume wa jukwaa la siasa kina liza na wenzake ufute. Sawa[emoji54]!
Huwa unanifurahisha sana unapotoa comments zako. Mzima wewe lakini pia pole sana kwa msiba wa mzee.Sema ni majority ya wanaume; "All" is a very stong word . Still wapo wanaume ambao ni waaminifu sana tu. Sema wengi wetu tunajipa moyo kuwa wote wanacheat kama justification kuendelea kuwa abused emotionally. Ukiamua kuvumilia/ kumbeba partner mchepukaji mvumilie/mbebee tu, but usije kujipa matumaini kuwa all men cheat, Haipo hiyo
Saying that, Ndoa zote zina changamoto, ila kuna wanandoa ambao uaminifu haujawahi Kuwa changamoto kwao kabisa.