Kwa wanawake tu: Mbinu za kumpata sponsor

Uvumilivu ni maamuzi sio sheria
Naweza kukuacha niende kwa mwingine mwenye pesa
Kaka angu mwanamke na pesa ni mapacha,hao wanaokupa wewe free k inawezekana kuna sehemu wanadanga
Yani sisi sio wa kutulia yamini kama hivyo
Ukiona mwanamke hataki hela kutoka kwa mwanaume ni miundo mbinu tu haiko sawa lakini deep down its every woman’s dream kuhudumiwa na mtu anaemtia ambayo nyie mnaona ni kuuza
Watakataa hapa kujifariji ila hakuna asietaka hio treat
Ni kwamba wachache kama mleta mada wameamua kuwa more specific huku wengine wakiugulia moyoni kimya kimya
Kwanza kabisa uvumilivu siyo asili ya mwanamke, ikiwa muda haumvumilii mwanamke yeye atavumiliaje hali yoyote?
Kitu pekee anachotaka mdangaji kutoka kwa mwanamume ni pesa(security), na zana pekee anayotumia mwanamke kuchota pesa za mwanaume ni uzuri wake(feminine sexuality).

Lakini uzuri wa mwanamke siyo kitu cha kudumu, ni perishable condition. Mwanamke anakuwa kwenye kilele cha uzuri wake akiwa kwenye umri kati ya miaka 19-30. Kwahiyo kwenye hiyo age mwanamke anatakiwa awe sharp ku exploit resources za mwanaume for her future and better survival.

Kwahiyo kwa kuwa muda siyo rafiki kwa mwanamke, inabidi atumie huo umri kati ya 19-30 kwa ajili ya kuandaa baadae yake. Inawezakuwa kwa njia ya kuolewa, kudanga na kupata mtaji mkubwa wa biashara au kuhonga K na kupata kazi nzuri itakayomwezesha kuishi vizuri hata pindi uzuri wake utakapoanza kupungua.

Lakini akichelewa akaenda beyond 30 bila ndoa, wala kazi ya maana, wala kipawa chochote kwenye biashara, basi huyo imekula kwake.Mwanamke mwenye 35+ anaanza kuzeeka, mitongozo inapungua na atatumia makeup nyingi ili aweze kushindana na damu changa sokoni.

Lengo langu kwenye huu uzi ilikuwa kuwatahadharisha wanaume hasa namna ya kutumia vizuri rasilimali tunazopata. Tofauti na mwanamke, mwanaume anazeeka Kama wine....yaani jinsi umri unavyosonga ndo uzuri unaongezeka na madili ya mitonyo yanakuwa njenje.... mwanamume anatakiwa kukimbizana na pesa maana kwetu hata miaka 60, 70, 80, tunaweza kuenjoy na vibinti vya miaka 20 bila shida..... mwanaume ni slightly weak biologically, hivyo kuhonga hovyo pamoja na ngono zembe ndo chanzo cha magonjwa mengi ya uzeeni pamoja na vifo vya mapema ukilinganisha na mwanamke.
 
Twende moja kwa moja kwenye mada. Mwanamke hakuumbwa kutafuta kwa jasho asilani. Wanawake amkeniii. Use what nature gave you and enjoy life. Hili game lina mbinu zake...leo ntawapa chache

1. Pendeza. Take your time to dress up and make up. Nywele, kucha, mavazi, kunukia vizuri, mambo ya udi na perfume nzuri nk. Hapa kwenye mavazi vaa vigauni flani amazing with feminine colours, pink, red, nudes, beige, etc. Epuka kuvaa suruali hasa ukiwa mawindoni ( don't over do it with dressing up and make up utaonekana changu...be careful hapa). Wanaume wanaojielwa hawapendi too much make up and slutty outfits

2. Be feminine. Tabasamu muda wote hasa ukiwa mawindoni, hakikisha sauti yako ni nyororo, wanaume wanavutiwa na sauti nyororo, cheka na ongea taratibu, sio unacheka kicheko cha mahoka, big no. Act dumber than him so to boost his ego. Hata kama wewe ni mwanasheria mkongwe wa kimataifa usijionyeshe kuwa una uelewa wa juu sana wa mambo. No matter how successful you are girl, don't show it to him

3. Tembelea maeneo wanayopenda kutembelea wanaume wenye pesa, the rich side of town, mitaa flani ya kishua, bar au hotel za kishua, golf course, fund raising events, etc. Vaa vizuri pendeza tembelea maeneo hayo mara kwa mara, ipo siku utaibuka na mmoja

4. Lose weight. Jitahidi kuwa na mwili mwembamba, wanaume wenye pesa ndefu hupendelea zaidi wanawake wembamba

5. Usijirahisishe. Hapa wadada wengi ndo huwa wanajiharibia. Hata kama mwanaume ana pesa vipi usizuzuke na kukimbilia kitandani. Atakuona huna thamani na atakuacha fasta. Funga miguu yako for as long as it takes. Mwanaume atainvest zaidi kwako akiwa na anticipation kwamba ipo siku atakukula ( but he has to work for it coz your p***y is not cheap). Let him fantasize about you for as long as possible. Usitoe kirahisi

5. Hakikisha target yako ni wanaume wanaokuzidi kuanzia miaka 15 na kuendelea. I mean age difference. Wanaume wa hivi wanahonga sana maana anakuona kama mwanae na si pasua kichwa kama hawa vijana. Hawana presha za kujenga sijui kununua gari. He will spoil you rotten. Asiwe chini ya miaka 45

The uglier and older he is, the better.

6. Akikuomba namba ya simu mpe. Akikupa namba yake ya simu kamwe usiwe wa kwanza kumtafuta. Let him chase you, if he doesn't don't get tempted to try calling or texting him, atakuona cheap. He should call you first if he doesn't, move on to the next. He should be interested in you more than you are interested in him. Jifanye huna time kabisa

Trust me wanawake, hizi mbinu zinafanya kazi like a charm. Ndo limbwata lenyewe hili. It works. Its been working and it will still work till eternity.

Kama haikuhusu pita pembeni. Walioelewa wameelewa. This game is not for every woman. Ni kwa wale wanaoelewa thamani yao na nature yao halisi
Ww ni KE au ME ?
 
Mimi..sina njaa Wala siduu na abstain. Ila Kaka hela yakupewa na baba/Mama... Nakupewa na mwanaume Ni vitu viwili tofauti... Eti kisa na Mshahara ndo unatomba bure tu.

Wewe ndo wale mnaokopa wanawake hela.. tena hamalipi..na mnataka wakajitolee na mahali...

You are a shame to manhood.
Mbona kama una ujishtukia? Kwani kuna aliyekwambia kwamba una njaa?

Kama unatambua hela ya mwanaume ni tamu kuliko ya Baba'ko sasa una abstain kwa manufaa ya nani?

We jua hakuna mwanaume boya wa kuhonga bila kuto.mba. Pili jua mwanamke anazeeka Kama maziwa. Ni maziwa fresh akiwa kwenye 19-25, maziwa mtindi kwenye 26-35...na baada ya hapo ni maziwa yaliyochacha.

Mwisho, sina tabia ya kukopa ama kumkopesha mwanamke chochote....Mambo ya mahari waachie waoaji.
 
Wanaume apeche alolo lazima wakulaani mtoa mada ila ni nature yetu ke kupenda palipo na uhakika wa maisha kwetu sisi na vizazi vyetu,

Tangu enzi wanawake walitumika kuolewa katika familia zenye wadhifa, ama za kifalme au kitajiri ili tu akomboe ndugu zake ama watu wa jamii yake, mf ni Esta, sasa nimpate wa hivyo nikae kifala fala eti naangalia true love mara oooh tutafute pamoja, sifanyi huo ushenzi

Trust me, ukishampata mume tajiri, mahitaji yako ya kifedha yakishatimizwa, utataka utimize mahitaji yako ya kimwili, uta-cheat, kama sio kuzaa na kondakta wa daladala bcoz konda ni handsome na ana six packs Noelia
 
Mnachanganya mambo hapa mkuu, mantiki ya mtoa mada hamjaielewa kabisa

Halafu mmekariri kuwa wanaume wenye wadhifa huwa hawana nguvu za kupiga mashine ila wapo waliojaaliwa kotekote, na apeche alolo wasioweza kupiga mashine vilevile
 
Kwanza kabisa uvumilivu siyo asili ya mwanamke, ikiwa muda haumvumilii mwanamke yeye atavumiliaje hali yoyote?
Kitu pekee anachotaka mwanamke kutoka kwa mwanamume ni pesa(security), na zana pekee anayotumia mwanamke kuchota pesa za mwanaume ni uzuri wake(feminine sexuality).

Lakini uzuri wa mwanamke siyo kitu cha kudumu, ni perishable condition. Mwanamke anakuwa kwenye kilele cha uzuri wake akiwa kwenye umri kati ya miaka 19-30. Kwahiyo kwenye hiyo age mwanamke anatakiwa awe sharp ku exploit resources za mwanaume for her future and better survival.

Kwahiyo kwa kuwa muda siyo rafiki kwa mwanamke, inabidi atumie huo umri kati ya 19-30 kwa ajili ya kuandaa baadae yake. Inawezakuwa kwa njia ya kuolewa, kudanga na kupata mtaji mkubwa wa biashara au kuhonga K na kupata kazi nzuri itakayomwezesha kuishi vizuri hata pindi uzuri wake utakapoanza kupungua.

Lakini akichelewa akaenda beyond 30 bila ndoa, wala kazi ya maana, wala kipawa chochote kwenye biashara, basi huyo imekula kwake.Mwanamke mwenye 35+ anaanza kuzeeka, mitongozo inapungua na atatumia makeup nyingi ili aweze kushindana na damu changa sokoni.

Lengo langu kwenye huu uzi ilikuwa kuwatahadharisha wanaume hasa namna ya kutumia vizuri rasilimali tunazopata. Tofauti na mwanamke, mwanaume anazeeka Kama wine....yaani jinsi umri unavyosonga ndo uzuri unaongezeka na madili ya mitonyo yanakuwa njenje.... mwanamume anatakiwa kukimbizana na pesa maana kwetu hata miaka 60, 70, 80, tunaweza kuenjoy na vibinti vya miaka 20 bila shida..... mwanaume ni slightly weak biologically, hivyo kuhonga hovyo pamoja na ngono zembe ndo chanzo cha magonjwa mengi ya uzeeni pamoja na vifo vya mapema ukilinganisha na mwanamke.
Aliekwambia Nani mwanaume was 60 70 80 anadu sawa na wa 40 kushuka chini... Hua mnajifariji Sana kuwa mwanaume hazeeeki...ngoja mfike huo umri ndo mtajua....
 
Shida ya hizi mbinu ni 'sustainability'...
Nobody likes to be used/milked over a long period of time..

But everybody for herself and their own life objectives!
 
wanawake naona tunawaonea tu bure
kiasili mwanamke anahitaji security pesa haijaanza kusumbua leo wala jana hili swala ukiuliza hata mabibi zetu watakuambia
zamani mwanamke atapenda aolewe kwenye familia yenye utajiri wa mashamba mifugo nk
hata kwa wanyama ni hivo hivo jike la simba hawezi kuzaa na dume ambalo ni goigoi kwenye kundi
 
Nyuzi za hivi zinateka hisia za wengi, chochote kinachohusu pesa, cheating lazima kiteke hisia za watu.

At the end, kila mtu aishi maisha anayoona yatamfaa.
 
Twende moja kwa moja kwenye mada. Mwanamke hakuumbwa kutafuta kwa jasho asilani. Wanawake amkeniii. Use what nature gave you and enjoy life. Hili game lina mbinu zake...leo ntawapa chache

1. Pendeza. Take your time to dress up and make up. Nywele, kucha, mavazi, kunukia vizuri, mambo ya udi na perfume nzuri nk. Hapa kwenye mavazi vaa vigauni flani amazing with feminine colours, pink, red, nudes, beige, etc. Epuka kuvaa suruali hasa ukiwa mawindoni ( don't over do it with dressing up and make up utaonekana changu...be careful hapa). Wanaume wanaojielwa hawapendi too much make up and slutty outfits

2. Be feminine. Tabasamu muda wote hasa ukiwa mawindoni, hakikisha sauti yako ni nyororo, wanaume wanavutiwa na sauti nyororo, cheka na ongea taratibu, sio unacheka kicheko cha mahoka, big no. Act dumber than him so to boost his ego. Hata kama wewe ni mwanasheria mkongwe wa kimataifa usijionyeshe kuwa una uelewa wa juu sana wa mambo. No matter how successful you are girl, don't show it to him

3. Tembelea maeneo wanayopenda kutembelea wanaume wenye pesa, the rich side of town, mitaa flani ya kishua, bar au hotel za kishua, golf course, fund raising events, etc. Vaa vizuri pendeza tembelea maeneo hayo mara kwa mara, ipo siku utaibuka na mmoja

4. Lose weight. Jitahidi kuwa na mwili mwembamba, wanaume wenye pesa ndefu hupendelea zaidi wanawake wembamba

5. Usijirahisishe. Hapa wadada wengi ndo huwa wanajiharibia. Hata kama mwanaume ana pesa vipi usizuzuke na kukimbilia kitandani. Atakuona huna thamani na atakuacha fasta. Funga miguu yako for as long as it takes. Mwanaume atainvest zaidi kwako akiwa na anticipation kwamba ipo siku atakukula ( but he has to work for it coz your p***y is not cheap). Let him fantasize about you for as long as possible. Usitoe kirahisi

5. Hakikisha target yako ni wanaume wanaokuzidi kuanzia miaka 15 na kuendelea. I mean age difference. Wanaume wa hivi wanahonga sana maana anakuona kama mwanae na si pasua kichwa kama hawa vijana. Hawana presha za kujenga sijui kununua gari. He will spoil you rotten. Asiwe chini ya miaka 45

The uglier and older he is, the better.

6. Akikuomba namba ya simu mpe. Akikupa namba yake ya simu kamwe usiwe wa kwanza kumtafuta. Let him chase you, if he doesn't don't get tempted to try calling or texting him, atakuona cheap. He should call you first if he doesn't, move on to the next. He should be interested in you more than you are interested in him. Jifanye huna time kabisa

Trust me wanawake, hizi mbinu zinafanya kazi like a charm. Ndo limbwata lenyewe hili. It works. Its been working and it will still work till eternity.

Kama haikuhusu pita pembeni. Walioelewa wameelewa. This game is not for every woman. Ni kwa wale wanaoelewa thamani yao na nature yao halisi
Point namba 5, Unapoamua kutojirahisisha; hakikisha game unaliweza kunako 6×6.

Siyo unakuwa mgumu alafu siku ya kukupata kumbe game huwezi! Utaachwa fasta.

Nimejibu kwa niaba ya kambi ya Kiumeni.
 
yani mwanamkee avae apendeze awe mzuri vipi mi kwangu si kitu kwangu pesa ndo mkee mwema
 
Mfano wewe wanaume wote waliokutmb kwani waliruhusiwa na Baba'ko? Si yalikuwa maamuzi yako....basi ndo itakavyokuwa, kazi yangu ni kuwafunza na kuwakuza ili waweze kujiamulia kwa usahihi.

Niwe naamini Mungu au nisiyeamini, haibadilishi hulka za wanadamu.

Maadam nature iliamua niwe mwanaume sintapingana nayo....ni raha Sana ku pump and dump.... ejaculate and evacuate....no strings attached.
Nakutakia KILA la kheri katika utafutaji.
 
Mnachanganya mambo hapa mkuu, mantiki ya mtoa mada hamjaielewa kabisa

Halafu mmekariri kuwa wanaume wenye wadhifa huwa hawana nguvu za kupiga mashine ila wapo waliojaaliwa kotekote, na apeche alolo wasioweza kupiga mashine vilevile

Sisemei uwezo wa mwanaume kupiga mashine, nazungumzia mvuto wa mwanaume kingono, wanaume ambao wana pesa nyingi half wawe na mvuto wa kingono ni wachache mno Noelia
 
Twende moja kwa moja kwenye mada. Mwanamke hakuumbwa kutafuta kwa jasho asilani. Wanawake amkeniii. Use what nature gave you and enjoy life. Hili game lina mbinu zake...leo ntawapa chache

1. Pendeza. Take your time to dress up and make up. Nywele, kucha, mavazi, kunukia vizuri, mambo ya udi na perfume nzuri nk. Hapa kwenye mavazi vaa vigauni flani amazing with feminine colours, pink, red, nudes, beige, etc. Epuka kuvaa suruali hasa ukiwa mawindoni ( don't over do it with dressing up and make up utaonekana changu...be careful hapa). Wanaume wanaojielwa hawapendi too much make up and slutty outfits

2. Be feminine. Tabasamu muda wote hasa ukiwa mawindoni, hakikisha sauti yako ni nyororo, wanaume wanavutiwa na sauti nyororo, cheka na ongea taratibu, sio unacheka kicheko cha mahoka, big no. Act dumber than him so to boost his ego. Hata kama wewe ni mwanasheria mkongwe wa kimataifa usijionyeshe kuwa una uelewa wa juu sana wa mambo. No matter how successful you are girl, don't show it to him

3. Tembelea maeneo wanayopenda kutembelea wanaume wenye pesa, the rich side of town, mitaa flani ya kishua, bar au hotel za kishua, golf course, fund raising events, etc. Vaa vizuri pendeza tembelea maeneo hayo mara kwa mara, ipo siku utaibuka na mmoja

4. Lose weight. Jitahidi kuwa na mwili mwembamba, wanaume wenye pesa ndefu hupendelea zaidi wanawake wembamba

5. Usijirahisishe. Hapa wadada wengi ndo huwa wanajiharibia. Hata kama mwanaume ana pesa vipi usizuzuke na kukimbilia kitandani. Atakuona huna thamani na atakuacha fasta. Funga miguu yako for as long as it takes. Mwanaume atainvest zaidi kwako akiwa na anticipation kwamba ipo siku atakukula ( but he has to work for it coz your p***y is not cheap). Let him fantasize about you for as long as possible. Usitoe kirahisi

5. Hakikisha target yako ni wanaume wanaokuzidi kuanzia miaka 15 na kuendelea. I mean age difference. Wanaume wa hivi wanahonga sana maana anakuona kama mwanae na si pasua kichwa kama hawa vijana. Hawana presha za kujenga sijui kununua gari. He will spoil you rotten. Asiwe chini ya miaka 45

The uglier and older he is, the better.

6. Akikuomba namba ya simu mpe. Akikupa namba yake ya simu kamwe usiwe wa kwanza kumtafuta. Let him chase you, if he doesn't don't get tempted to try calling or texting him, atakuona cheap. He should call you first if he doesn't, move on to the next. He should be interested in you more than you are interested in him. Jifanye huna time kabisa

Trust me wanawake, hizi mbinu zinafanya kazi like a charm. Ndo limbwata lenyewe hili. It works. Its been working and it will still work till eternity.

Kama haikuhusu pita pembeni. Walioelewa wameelewa. This game is not for every woman. Ni kwa wale wanaoelewa thamani yao na nature yao halisi
Kumbe! Hamnipati

Sent from my OPPO R11s using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom