Kwa wanaume wote wa chit chat; hii inawahusu!!!!!!!!!

Lady doctor kama unajisikia kutaka kunikagua na mimi hebu omba visa kwa mwaJ.

Tahadhari: Mimi huwa nachukua pointi zote viwanja vya ugenini mbele ya mashabiki wa timu ya nyumbani, hakuna droo ama kushindwa.
Ukipata visa nitawahitaji wote katika zoezi la ukaguzi.
cc: Binamu Madame B na The secretary
 
Last edited by a moderator:

kazi yangu haifungamani na upande wowote wee njoo nikukague
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom