Hmaster
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 346
- 86
Huna hili wala lile unasikia ujumbe umeingia kwenye simu yako ya mkononi, unaifungua na kukutana na sms yenye jina na namba ya mkeo huku ujumbe wenyewe ukisomeka hivi: "kweli nimeamini kwamba wewe ni mkali, nimekupenda sana kwa vituko vyako kitandani na ninaapa sitokuacha na nnakuomba nawe usiniache, asante sana".
Unajaribu kufikiri kwa nn wife akutumie sms hiyo leo wakati mna miaka zaidi ya mitano ktk ndoa hupati jibu. Unauchuna lkn unaporudi nyumbani na kuchukua cmu yake na kuiangalia unakutana na sms ileile lakini imetumwa pia kwa mtu mwingine na unapokwenda kwenye inbox unakutana na majibu ya sms ile ya kwamba "usijali kwani hata mm nimekupenda sana kwa namna unavyojishughulisha kitandani.
Je, kama ndo yamekukuta wewe ndugu yangu utafanya nini? Amini usiamini tukio hili ni la kweli na limemtokea mdogo wangu ambaye tumeolea familia moja na hadi sasa ni cku nne zimepita amesafiri na cmu ya mkewe pasipo kumweleza chochote hadi arudi wk ijayo. Afanyeje? Nishauri nikamshauri!