Kwa wanaume wenye ndoa tu

"Mwambie tatizo liko hapo, ajaribu kugusa na angle nyingine....lol"

MJ1 ebu rudi utusaidie tafadhali hapo kwenye bold unamaanisha zipi? jicho pia linahusika eeh!

Aisee! mimi ningelivua penzi tu hapo coz hata nikijifanya kusamehe sitoweza kusahau kabisa.
 
Huna hili wala lile unasikia ujumbe umeingia kwenye simu yako ya mkononi, unaifungua na kukutana na sms yenye jina na namba ya mkeo huku ujumbe wenyewe ukisomeka hivi: "kweli nimeamini kwamba wewe ni mkali, nimekupenda sana kwa vituko vyako kitandani na ninaapa sitokuacha na nnakuomba nawe usiniache, asante sana".

Unajaribu kufikiri kwa nn wife akutumie sms hiyo leo wakati mna miaka zaidi ya mitano ktk ndoa hupati jibu. Unauchuna lkn unaporudi nyumbani na kuchukua cmu yake na kuiangalia unakutana na sms ileile lakini imetumwa pia kwa mtu mwingine na unapokwenda kwenye inbox unakutana na majibu ya sms ile ya kwamba "usijali kwani hata mm nimekupenda sana kwa namna unavyojishughulisha kitandani.

Je, kama ndo yamekukuta wewe ndugu yangu utafanya nini? Amini usiamini tukio hili ni la kweli na limemtokea mdogo wangu ambaye tumeolea familia moja na hadi sasa ni cku nne zimepita amesafiri na cmu ya mkewe pasipo kumweleza chochote hadi arudi wk ijayo. Afanyeje? Nishauri nikamshauri!

Nilishapiga marufuku hizi message za kuforward maana zinaweza kuleta kizazaa. Du! nimechemka, nitarudi baadae.
 
Hana cha kufanya, zaidi anajiumiza. Akae kimya, za mwizi ni 40, ataingia kwenye 18 ndipo atajua maharage si mbona ni dawa ya usingizi!
 
Sms ni ushahidi tosha nilazima uchukuwe hatua na maamuzi mapema si umi wala kumumunya maneno mimi binafsi ningemwambia amfuate huko huko huyo anayemfikisha tusije uana bure.
 
kazi kweli! Ndoa ndoano! Kuishi na mtu mzima mwenzio kazi kweli, unaweza kuwa unajituma, unajishughulisha, unamridhisha na bado akatoka nje tu. Binafsi naomba mungu nisije kujua kama kuna kitu kama hicho na mimi kama ninafanya au nitafanya hayo basi na yeye asijue basi! Siku nitakapojua basi mambo yote yataishia hapo hapo, i mean itakuwa mwisho maana hapo tutakuwa tumeadharauliana vya kutosha

hayajakutokea huwezi kujua kama utaweza
 
Amepata ukweli kuhusu mke wake na sasa akae chini aamue. Ama kuendelea mbele au kuzima gari na kulitelekeza!

Hana tena nafasi zaidi ya kufanya maamuzi magumu. Pia ajiangalie kama na yeye ni msafi ki hivyo. Kama ni ajali ya kimapenzi ambayo hata yeye ingeweza kumpata wakati wowote auchune tu na kuendelea na maisha!

Hata hivyo anaweza kumwonesha mkewe hiyo sms na kumwomba siku nyingine awe makini ili aache kumrusha roho! Vinginevyo huyo ndiye my wife wake!!!
Mzee mwenzangu umenena vema, lakini hebu isome kwa sauti hii sentensi hapa chini kwenye red.

Huna hili wala lile unasikia ujumbe umeingia kwenye simu yako ya mkononi, unaifungua na kukutana na sms yenye jina na namba ya mkeo huku ujumbe wenyewe ukisomeka hivi: "kweli nimeamini kwamba wewe ni mkali, nimekupenda sana kwa vituko vyako kitandani na ninaapa sitokuacha na nnakuomba nawe usiniache, asante sana".

Unajaribu kufikiri kwa nn wife akutumie sms hiyo leo wakati mna miaka zaidi ya mitano ktk ndoa hupati jibu. Unauchuna lkn unaporudi nyumbani na kuchukua cmu yake na kuiangalia unakutana na sms ileile lakini imetumwa pia kwa mtu mwingine na unapokwenda kwenye inbox unakutana na majibu ya sms ile ya kwamba "usijali kwani hata mm nimekupenda sana kwa namna unavyojishughulisha kitandani.

Je, kama ndo yamekukuta wewe ndugu yangu utafanya nini? Amini usiamini tukio hili ni la kweli na limemtokea mdogo wangu ambaye tumeolea familia moja na hadi sasa ni cku nne zimepita amesafiri na cmu ya mkewe pasipo kumweleza chochote hadi arudi wk ijayo. Afanyeje? Nishauri nikamshauri!
 
Achunguze ukweli kwanza. maana kuna wa2pia wamekaa mahususi kwa kuaribu ndoa za watu. kwanza anapaswa kuwa na uhakika na analodhan kabla hajamuacha wife huku anampenda. akiwa na uhakika amwage
 
Anachotakiwa kufanya ni kumweleza mkewe kuwa samahani ile sms ulionitumia naona ulituma kimakosa halafu achune
 
Back
Top Bottom